Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,899
- 73,370
Aiseee sadMmmh au ndio huyu folk?
Aiseee sadMmmh au ndio huyu folk?
Tutaupata wapi ukweli sasa daah!Aiseee sad
Yani natamani hata mm kujua. But ukweli ni kwamba alikua anaumwa mtu hawezi kujibambika ji gonjwa kubwa kama hilo for funny. Mungu amrehemu kama ameshatutoka kama yupo labda yuko na hali mbaya hawezi tena kushika simu. Cancer ina maumivu makali sana kwa mujibu wa wagonjwa huwezi kuyasimuliaTutaupata wapi ukweli sasa daah!
Jamani[emoji24] [emoji24] [emoji24] ....it pains a lot!Yani natamani hata mm kujua. But ukweli ni kwamba alikua anaumwa mtu hawezi kujibambika ji gonjwa kubwa kama hilo for funny. Mungu amrehemu kama ameshatutoka kama yupo labda yuko na hali mbaya hawezi tena kushika simu. Cancer ina maumivu makali sana kwa mujibu wa wagonjwa huwezi kuyasimulia
A lot my dearJamani[emoji24] [emoji24] [emoji24] ....it pains a lot!
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
Naomba kuunganisha thread ya folk na comment ya mgoyojri lost my friend nilisoma nae shaaban robert anaitwa Patrick Kibwana alifariki tarehe 22 June mwaka huu kama sikosei . Age 28 alikuwa na amefariki kwa Cancer ya Kongosho sasa sijui huu uzi ni wa nani . but i miss kaka yangu bestie yangu wa darasa Patrick Kibwana. forever love bro . love u
Mkuu, ebu pitia kwa umakini nilicho kuandika hapo juu, utagundua kituHakuna mtu aliyewahi kuwa kifahamiana na huyu ndugu? maana last seen ni May.
Aisee
Nini mkuu...[emoji45] [emoji45]Aisee
Nakuelewa mkuu, ila ndio ukweli wa maisha yetu hapa duniani tunaishi kwa wakati na kila mtu na muda wake, ila kujua kuwa una miezi minne ya kuishi is very painful and complicated popote ulipo brother Mungu awe na wewe.hii post umeniumiza kuliko post zote za jf nikisema nisome coment 5 lazima nilie yani mi nikijana nina 24 na ubabe wangu wote lakini naumia kiasi adi machozi lananitoka folk sijui ulipo my brother umeniumiza mno kaka! maamini mungu yuko karibu nawe
maelezo ya mkuu mgoyojr yana muelekeo flani na folk !
Mkuu, kabla hauja log off....maelezo ya mkuu mgoyojr yana muelekeo flani na folk !
tatizo lililomuua huyo rafiki yake...umri wa marehemu... na hata mda aliokufa!
siwezi sema kama folk ndio huyo patrik ila wanashabihiana sana.
Dah!
Nalog off ...kwanza...
Pole, kwa muda na umri na tatizo 'huenda' mtoa uzi akawa muhusika 'huenda'i lost my friend nilisoma nae shaaban robert anaitwa Patrick Kibwana alifariki tarehe 22 June mwaka huu kama sikosei . Age 28 alikuwa na amefariki kwa Cancer ya Kongosho sasa sijui huu uzi ni wa nani . but i miss kaka yangu bestie yangu wa darasa Patrick Kibwana. forever love bro . love u