Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Mkuu ni dakari tiba?au upo ktk sekta ya AFYA? Kama ndivyo naomba nisaidie dawa ya kuponyesha kifua. Kuna mtu wangu anaumwa kifua cha makohozi yaani akiponi huwa kinapungua tuu kiasi kwamba ameona kama ni maisha yake. Kama kuna dawa inayoendana na hayo maelezo nisaidie.
Niandikie meseji kwenye hiyo namba niliyoitoa halafu nikupigie ili nikuelekeze.
 
Yale Yale MTU anaomba msaada Wa matibabu watu hawatoi hata shilingi 10 akifa wanakuja na rambirambi za mamilioni.

Alipokuwa anateseka humu hatukuona habari za kuomba mualiko walau akaonwe na kumjulia hali. Leo "Inasadikika" kaaga dunia watu wamechachamaa wanataka walau wapajue hata alipokuwa anaishi. Silaumu MTU ila tuacheni unafiki.

Tubadirikeni kuna watu wanakujaga humu kuomba misaada watu wanatoa majibu kana kwamba wao wana hati miliki ya kutopata shida au kufa. Tuwe na moyo Wa utu. Sisi sote ni nyama ya aridhi haijalishi ni tajiri au masikini, mrembo au mbaya, n.k

Kama mwenzetu umefariki Nakuombea upumzike Salama, na kama hujafa kansa hii itakuwa inakuendesha, mungu akufanyie wepesi unayakabili matatizo yanayokusibu.
 
Mkuu huwa una akili sana ukiachaga pombe za kienyeji. Umeongea sense moja makini mno.
Walioelewa wamekuelewa mkuu. Sisi binadamu weusi wanafiki sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom