Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Siku kaleta uzi wake nakumbuka tulikuwa tunajibizana nae why sikumuomba namba yake hata kwa kumbembeleza pm?! Poor witie I feel guilty![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji86] [emoji86]
Kwakua nafsi yako tayari imejuta na kuomba radhi........ Ukweli umekua mwema na mwanamke wa mfano machoni mwangu, kama alivyo fanya Abigaili kwa ushujaa mkubwa.
Mkuu, Mungu wetu ni mwema na mzuri sana..... kwakua hauja pata tu nafasi ya kuonana ama kuwasiliana na folk lakini ninaamini hata yeye huko alipo atakua amekusamehe
 
utaamia kwnye ibada nayo itakusaidia kwenda peponi yaan me naona faida nyingi za kujua siku yako ya kufa kulioko kutokujua
La maana hapo ni ile bora uhamie ibadani miezi yote minne ni nonstop mpaka Sir God akuonee hata huruma! Lakini eti kula bata? Hell no!

Unaweza kusema ngoja nile bata miezi miwili na ile miezi mingine miwili nishinde ibadani ukafa kabla ya hiyo miezi ya ibada usicheze na Mungu chief!
 
Kwakua nafsi yako tayari imejuta na kuomba radhi........ Ukweli umekua mwema na mwanamke wa mfano machoni mwangu, kama alivyo fanya Abigaili kwa ushujaa mkubwa.
Mkuu, Mungu wetu ni mwema na mzuri sana..... kwakua hauja pata tu nafasi ya kuonana ama kuwasiliana na folk lakini ninaamini hata yeye huko alipo atakua amekusamehe
Asante mkuu...kuanzia leo namuombea apate pumziko la milele!

Hilo namuahidi!
 
La maana hapo ni ile bora uhamie ibadani miezi yote minne ni nonstop mpaka Sir God akuonee hata huruma! Lakini eti kula bata? Hell no!

Unaweza kusema ngoja nile bata miezi miwili na ile miezi mingine miwili nishinde ibadani ukafa kabla ya hiyo miezi ya ibada usicheze na Mungu chief!
lakin kifo bhna chenyewe ni kipo tu ujue usijue utakufa tu nadhan jamaa ata asingeambiwa na dokta bado angekufa tu,,huu ni kweli mchungu hata sisi tutakufa tu siku si nyingi hata kama hatujaambiwa na dokta
 
Njoo ufaidike kwenye group letu. Join na telegram hapa ili ijiingizie kipato cha haraka.

Elly:
Elly:
Elly:
Please help me to send this link to all contacts and groups you have


Business Exchange Zone

Elly:
Telegram – a new era of messaging


Kama hauna app ya telegram click link hiyo [emoji115]kudownload
We jamaa unawezaje leta hii kitu yako kwa thread yetu ya majonzi kama hii? Huna roho ya ubinadamu kabisa. Kavune wanachama huko kwingine mkuu
 
lakin kifo bhna chenyewe ni kipo tu ujue usijue utakufa tu nadhan jamaa ata asingeambiwa na dokta bado angekufa tu,,huu ni kweli mchungu hata sisi tutakufa tu siku si nyingi hata kama hatujaambiwa na dokta
Yes...ukishajua kitu fulani upende usipende lazima kikupate huna ujanja ndugu!

Wewe now ni unatakiwa kuwa nusu...bata nusu na ibada nusu! Utaenjoy life mnoo!
 
Hii kansa pia ndio ilimuondoa steve jobs dahhh!
Steve jobs mzee wa [emoji519] ..mbona jamaa yangu yuko mbele anasema uhakika ni Luku ndo ilimuondoa!

Hebu ngoja niugoogle huu ugonjwa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom