Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.
Mkuu pole sana, naomba nikupe ushauri ufuatao.

Tumeletwa duniani ili kutimiza malengo na makusudi ya Mungu.Tatizo letu ni kwamba hatukai kwenye mpango wa Mungu,tukikaa kwenye mpango wa Mungu,hakika tutashiba siku.Mpango wa Mungu kwetu ni kuineza injili,kuishi maisha matakatifu,kuwapenda wenzetu na kula vyakula ambavyo haviuharibu mwili.Tukiishi kama initially Mungu alivyotaka,pH ya miili yetu inakuwa pH 7.36,which is the ideal pH for the human body.Kwa bahati mbaya tumetoka katika mpango wa Mungu,kwa hiyo miili yetu imekuwa acidic(<pH 7.0),condition ambayo inafanya magonjwa kama Cancer yatushambulie.
Unapaswa ufanye nini?
i)Jikabidhi kwa Bwana Yesu 100%.Tafuta Kanisa linaloamini katika wokovu wa kweli,uongozwe sala ya toba.Kwa maana nyingine uokoke,in that way utakuwa na uhakika wa uponyaji wako na kuurithi Ufalme wa Mungu hata kama ukifa.
ii)Nimesema staili zetu za maisha ndizo zinazofanya miili yetu iwe acidic(maisha yasiyompendeza Mungu na vyakula visivyo faa tunavyokula).Ili uweze kubadilisha mwili wako uwe alkaline(at least >pH 7),anza immediately kula vyakula ambavyo vitaufanya mwili wako uwe alkaline!Matunda kama Avocado,mboga mboga,legumes na nuts,ni alkaline foods kwa hiyo zitaufanya mwili uwe unfavourable to cancer tumors.Endelea kula natural fats,natural starches na natural sugars,hizi zinaufanya mwili uwe na a neutral pH. Kunywa pia maji mengi,at least not less than eight glasses on a daily basis.Avoid bottled water. Achana initially na vyakula vyote vya nyama,mayai,samaki,
kuku,maziwa na pombe,vyakula hivi vitaufanya mwili wako uzidi kuwa acidic na hivyo kufanya hali izidi kuwa mbaya.

Mwisho na muhimu sana,tafuta food grade Bicarbonate of Soda,changanya kwenye glass ya maji robo kijiko,halafu kunywa mara tatu kwa siku.Cancerous cells will find the alkaline state unsuitable and the condition may disappear.

Mkuu once again pole,na believe me hutakufa,utaishi!Aliyekuambia utakufa ni mwanadamu,sio Mungu.Believe that God can,atafanya.Ondoa woga,it kills,ishi kwa matumaini.Ila muhimu kuliko yote,jikabidhi kwa Bwana Yesu,ili angalau hata ukifa, uurithi ufalme wa Mungu.Good luck.
 
Hili tatizo la mwenzetu ni funzo kwa wenye kufikiri
Ndugu mjumbe, kuna aina mbalimbali za matatizo. Ni kweli kwamba hatuwezi kuzungumzia matatizo yote ambayo wanadamu hukabili. Ingawa kwa hili la mwenzetu ambae ana uhai, tena tunawasiliana nae pamoja na kufurahia maisha ya jf kama familia moja.... kwakweli inaumiza kushuhudia tuponae, lakini sooner atakabiliana na hali kupambania nafsi yake
 
Huu uzi hua unanitoa chozi kila nikupitia, mara zote hua nakosa la kuandika kwa ile huzuni niliyokuwa nayo.
Nlimpoteza mlezi wangu wa pekee 2017 March 22, alianza kuumwa January mwishoni akadhoofu ghafla kila njia ya kumtibia ilishindikana, Allah akawa kachukua mja wake. Kuanzia hapo ni kama kichwa changu alikufa nacho, mpaka sasa ule uchungu ninausikia na hakuna ninaeweza kushiriki nae. Alikua ni mshauri pekee asiye mchoyo na anaenielewa kuliko mtu mwingine yeyote, nilipoteza Mjomba, ambaye ni baba, ni kaka, ni rafiki ni mshauri na msiri.
Pole sana mkuu
 
ila mtu ukijua siku yako ya kufa raha sana,, na ukienda motoni utakuwa ni mzembe,,
mfano ukijua imebak miez minne unakula bata la kufa mtu kwa miezi miwili alfu miwili itakayobakia ni mwendo wa ibada tu kukesha msikitin au kanisani na kutoa misadaka
Hilo bata utalila kweli au unacheza na kifo wewe...bia haishuki, mb.o.o haisimami[emoji15] [emoji15]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom