Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.
Tenda ka TB Joshua na kumwamini yesu utapona, pole sana
 
Mungu muweza wa yote ndio kila kitu hapa Duniani,Kama ungali hai endeleeea kumtukuza Mungu hata mwisho wa uhai wako,pia Kama hatupo nawe Pumzika Kwa Amani ndugu yetu FOLk.
 
Niliambiwa nikipatiwa good medication naweza kuishi hadi miezi nane. Lakini matibabu ni gharama kubwa na sihitaji msaada niko Kwenye critical stage na napata maumivu makali sana. Nahisi ni vema nife nipumzike.
Pole ndugu. yakabidhi Maisha yako tangu sasa kwa Muumba, sasa jali Maisha yajayo.
 
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.
Naamini kijana bado yupo hai, maana forum inaonyesha ame access hiki kijiwe siku ya leo.
Keep fighting solder!!
Screenshot_20180816-151756.jpg
 
Huu uzi hua unanitoa chozi kila nikupitia, mara zote hua nakosa la kuandika kwa ile huzuni niliyokuwa nayo.
Nlimpoteza mlezi wangu wa pekee 2017 March 22, alianza kuumwa January mwishoni akadhoofu ghafla kila njia ya kumtibia ilishindikana, Allah akawa kachukua mja wake. Kuanzia hapo ni kama kichwa changu alikufa nacho, mpaka sasa ule uchungu ninausikia na hakuna ninaeweza kushiriki nae. Alikua ni mshauri pekee asiye mchoyo na anaenielewa kuliko mtu mwingine yeyote, nilipoteza Mjomba, ambaye ni baba, ni kaka, ni rafiki ni mshauri na msiri.
 
Naamini kijana bado yupo hai, maana forum inaonyesha ame access hiki kijiwe siku ya leo.
Keep fighting solder!!
View attachment 837767
20180816_154812.png


Mie kwangu last seen inaonyesha hivyo Mkuu. Tumia Browser ndio utaona muda sahihi wa yeye kuperuzi jf hiyo App sijui Tapatalk huwa kwa kila mtu inaonyesha muda ambao upo saa hiyo.
 
Aisee kila nikiupitia huu Uzi nz kuusoma huu ugonjwa basi namkumbuka mshkaji wangu kipenzi ambaye wiki 4 zilizopita nilienda DSM kwa ajili ya mambo yangu na baada ya kufanya yangu nikasema ngoja nikamsalimie mshkaji ofisini kwake maana nilikuwa na muda sijawasiliana nae,Dah baada ya kufika naambiwa mshkaji alishazikwa toka 10 Feb mwaka huu kutokana na Cancer ya Ini aisee niliingiwa na ganzi maana kila nikivuta kumbukumbu namuona mshkaji alivyokuwa strong vya kutosha na kamwe hakuwahi kusumbuliwa na magonjwa ya ajabu ajabu but ukweli ukabaki kuwa mshkaji alishafariki and no more stories about him.Yaa Allah tunusuru na Adhabu ziumizazo Yaarabbi.

Daaahh jmn[emoji24][emoji24]ht taarifa za kuugua hukupata kabla ya kifo?
 
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.

Mwamini Mungu. Husikate tamaa.
Wanadamu wanavyosema sivyo Mungu anavyo sema.
Wanadamu wanavyoona sivyo Mungu anavyoona.
Mungu anampango na maisha yako. Simamia neno toka Zaburi 118:17

Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya Bwana.
Barikiwa
 
View attachment 837794

Mie kwangu last seen inaonyesha hivyo Mkuu. Tumia Browser ndio utaona muda sahihi wa yeye kuperuzi jf hiyo App sijui Tapatalk huwa kwa kila mtu inaonyesha muda ambao upo saa hiyo.
Hii last seen yako ndio ya ukweli ya kwenye app inadanganya na haioneshi sahihi yenyewe inaonyesha muda mmoja kwa kila mtu.
 
Mkuu ni dakari tiba?au upo ktk sekta ya AFYA? Kama ndivyo naomba nisaidie dawa ya kuponyesha kifua. Kuna mtu wangu anaumwa kifua cha makohozi yaani akiponi huwa kinapungua tuu kiasi kwamba ameona kama ni maisha yake. Kama kuna dawa inayoendana na hayo maelezo nisaidie.
Alijaribu kupima tb maana na mimi ilikuwa hivyo ila ilikuja kugundulika ni Tb nikaanza dawa nikamaliza nimepona sasaivi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom