Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Achana nahiyo Ripoti. Unajua ktk hii dunia kamwe hatuwezi kujua nafsi itatoka (kufa) lini na wapi nafsi hiyo itatoka ( kufa) iwe mashariki au magharibi au kaskazini au kusini na wala saa itayotoka ( kufa). Bali mwenyewe Muumba Ardhi na Mbingu ndie anaejua siri hiyo. Sasa waweza ukapona na jamaa wakashanga umeponaje. Omba sana kwa mungu upate uzima wako ili uwendelee na shuhuli zako ikiwemo kumuabudu yeye.

Natanguliza Shukran zangu. Linalokuja ndio kubwa.
 
Nakuhusudu kwa ujasiri wako. Lakini wewe ni mpole na mnyenyekevu mbele zake Mungu. Kwa sababu hiyo Mwenyezi Mungu atakufanya uwe wake hapa au mbinguni.
 
Hii account inatumika, lakini naona mara RIP mara hivi mara vile. Huyu mdau status yake ipoje?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…