Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Wakuu!

Kutokana na ushauri wangu kwake niliouandika hapa JF, Folk alivutiwa na kunitafuta tuliongea mengi kuhusu afya yake, masuala ya kiroho n.k na mwaka Jana marehemu alifariki Dunia kwa ugonjwa huo huo wa pancreatic cancer.

Hivyo Naomba niwathibitishie bila shaka kwamba Folk alifariki Dunia mwaka Jana na nilihudhuria msiba na mlolongo mzima wa mazishi. Mengine zaidi kumhusu yanabaki kuwa privacy ya familia yake.

Shukrani.
Dah! Aiseee...pumzika kwa amani folk,asante kwa taarifa humble african.so sad kwakweli.
 
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.

Hii habari ilinifanya siku hiyo nikaondoka kazini asubuhi tu hakika nilitafakari mambo mengi sana na niliumia mno

Rest in Paradise Folk
 
Mkuu pole sana kwa mfadhaiko ulionao kwa majibu ya daktar uyo..... Ila kaka kumbuka even huyo dactar anaweza kufa dakika mbili zijazo..... Hii ni kuonesha MUNGU NI MUWEZA WA YOTE!!
Kwa imani yangu YESU ALITESWA NA KUSULUBIWA KWAJIRI YAMATATIZO YETU YOTE..... CHUKUA IMANI... HI LEO SAA5 NIKIWA NAMSHUKURU MUNGU KWAKUNILINDA LEO BASI NTAKUA NA WEWE KWENYE MAOMBI.....

COMMENT HI UTAISOMA MPAKA 2030..
 
He is no longer with us...he is gone...man!!
 
Mkuu pole sana kwa mfadhaiko ulionao kwa majibu ya daktar uyo..... Ila kaka kumbuka even huyo dactar anaweza kufa dakika mbili zijazo..... Hii ni kuonesha MUNGU NI MUWEZA WA YOTE!!
Kwa imani yangu YESU ALITESWA NA KUSULUBIWA KWAJIRI YAMATATIZO YETU YOTE..... CHUKUA IMANI... HI LEO SAA5 NIKIWA NAMSHUKURU MUNGU KWAKUNILINDA LEO BASI NTAKUA NA WEWE KWENYE MAOMBI.....

COMMENT HI UTAISOMA MPAKA 2030..
Mwezako alishafariki ndugu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom