Rozanna Agro Africa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 809
- 796
Sawa mkuu
usitumie app ya jf kuangalia...haipo sahihi
tumia browser mkuu,....
RIP folk
usitumie app ya jf kuangalia...haipo sahihi
tumia browser mkuu,....
RIP folk
Mbona akaunt yake inaonesha ONLINE, au kuna mtu anaitumia?
Je Alifariki baada ya miezi 4Na likawa kubwa kweli maana alishafariki!
Ashakufa uthibitisho upo na watu walienda msibani kwakeSina iman hiyo
aah wapi yupo online mda huu
Dah... Mkuu pole aisee Dah so sad.. nimehisi mwili umelegea na kuishiwa nguvu katika hili Dah!! Pole R.i.p FolkWakuu!
Kutokana na ushauri wangu kwake niliouandika hapa JF, Folk alivutiwa na kunitafuta tuliongea mengi kuhusu afya yake, masuala ya kiroho n.k na mwaka Jana marehemu alifariki Dunia kwa ugonjwa huo huo wa pancreatic cancer.
Hivyo Naomba niwathibitishie bila shaka kwamba Folk alifariki Dunia mwaka Jana na nilihudhuria msiba na mlolongo mzima wa mazishi. Mengine zaidi kumhusu yanabaki kuwa privacy ya familia yake.
Shukrani.
Vipi ulikuwa unasubiri kwa hamu afe etii???? next time ficha upumbavuu wako...Mkuu ndugu mbona haujafa au miezi hiyo minne haijafika tu?
Umejihangaisha japo kuona kama amekuwa akichangia hivi karibuni?Mkuu ndugu mbona haujafa au miezi hiyo minne haijafika tu?
Sad truth...Rest well Folk.Dah... Mkuu pole aisee Dah so sad.. nimehisi mwili umelegea na kuishiwa nguvu katika hili Dah!! Pole R.i.p Folk
Wapo aisee ukiuguliwa utawajua vyema.
.
Tulikuwa na ndugu yetu aliumwa sana breast cancer, last time ameenda kwenye chemotherapy, daktari akamuita mumewe akamwambia, mgonjwa muhamishie nyumbani hapa hospital hatuna msaada zaidi.
Kwa sababu mgonjwa wenu hatomaliza 7days. Shemeji alilia sana, akachukua wife akapeleka nyumbani. 3 days after she died.
Tuliowahi kukumbwa na hali kama hii ndio tunajua maumivu yake. Mimi mgonjwa wangu nilikataa kumtoa mpaka alipofariki hapo hapo hospital.