Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Izo R.I.P mnazompa mtu ambaye bado hajakufa mnamaanisha nin wadau...

Kwani uyo aliyesema yeye ndio mtoa roho... Usikute mwana akatoboa mpaka uzeeni...

Madoctor wa kibongo sio wa kuwaaamini .

Mwamba bado tunae tunaweza tukafa sisi kabla yake... Au mnapenda tu kuwishi.

Ngojeni afe kwanza.... Msilete gundu.
Mwana anatoboa mbooona.
JAMAA ALSHAVUTA AISEE.
 
Juu kabisa kwenye jina lake utaona RIP.... halafu huu uzi usidhani umewekwa leo na msibani tulihudhuria wengine. HAYA SEMA LINGINE....
Kwenye jina lake hakuna rip..
Kuna jina folks na icon ya OP.

Kuhusu uzi ni kweli ni wa muda saana nalielewa ilo... Ila uzi hakusema km kafa.. Ila alikadiliwa kufa..

Kwa iyo juu ya uzi na neno kwenye jina uo sio ushahidi wa kiisimu wala kihistoria..

Issue pekee ambayo nitakuamini kwa asilimia chache ni kusema kuwa ulikwenda msibani

Ila je ikiwa km id ndio zinatumika humu... Kipi kilikushawishi uamini kuwa mwenye huu uzi ndio aliyekufa?

Maana wana wanadai wanachat nae huko
Si tunaona jina tu.

Ila km kweli ulifika fresh. Ila ulifika kwa nani na evidence iko wap
 
basi labda ni wewe na id nyingine...... lakini amewekewa R I P. tayari. Sasa mimi nasoma rip wewe unaona icon OP.... na pia anza post namba moja hadi umalize zote 70 labda utaelewa.... AU KAMA NI WEWE NA ID YAKO HII MPYA BASI.
 
Hauna uhakika... Yaani unahisi ni mimi tena aisee.
Screenshot_20190528-213658.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom