Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Nimepitia nyuzi za folk sijaona uhusiano wowote na jina la Late Patrick Kibwana.
-Kwenye uzi wa Folk taarifa fupi amesema yeye ni mtoto wa mwisho kati ya familia ya watoto sita na ana miaka 28.
Tafakuri:-
Profile ya Patrick Kibwana walikuwa wanamwita Biggy wakati Folk mwenyewe anasema kwamba amekonda sasa kwa tatizo alilokuwa nalo na amenaza kuwa na matatizo hayo tangu akiwa na miaka 9 maana amezaliwa kwenye familia ya kimaskini.

-Moja ya melezo Patrick alisoma Visiga seminary na Shaaban Robert,kwa familia hizi za kimasikini ni ngumu kuweza kusoma Shaaban Robert ila Folk alisema familia yao ni ya kimasikin.(inawezekana labda alilipiwa na wafadhili)

Nani aliyeunganisha Late Patrick Kibwana na Member Folk?
Member Folk ukimsoma vizuri alisema ni masikini tu ili kujitenga na majivuno

Masikini angetangaza dau la milioni?
 
Labda hukunielewa vizuri, huu uzi umejaa mjadala kwamba mpendwa wetu ana hali gani kwa sasa, assumptions zimekuwa kwamba haonekani kulogin jukwaani miezi kadhaa, kati kati ya sintofahamu hii akaja mtu anauliza "jamaa ameshafariki ama bado?"

Mi nikamkot na kumuuliza "hujui tunajadili nini humu?" Huenda yule jamaa si mfuatiliaji wa huu uzi, kwa mfuatiliaji wa uzi huu asingeweza kuuliza vile! Inaonekana swali langu limekuwa baya kwako! Basi nisamehe ndugu, hakukuwa na haja ya Kuhusisha wazazi katika hili, duniani sisi ni wappita njia tu! Nashukuru kwa yote Mkuu! Ubarikiwe sana.
Hekima
 
MSAADA MSAADA MSAADA MSAADA

Habari za muda huu kwa mara nyingine tena

Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu

Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu

naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu

Nimezunguka sana kwenye viwanda, site za ujenzi ila naambuliwa patupu, naombeni msaada wenu, ata kama nitapata kazi ya ku-volunteer tuu, pia ntashukuru sana ndugu zangu...

Maana umri pia unakimbia, nisaidieni sana

Elimu yangu: Degree

Fani: CYBER SECURITY (ULINZI NA USALAMA WA MIUNDOMBINU YA TEKNOLOJIA)

Other Award: Diploma in computer science (SAYANSI YA KOMPUTA)

Na nimekuwa mbobezi katika mambo ya

》Penetration Testing, kutafuta vulnerabilities, kufanya sniffing, exploits & tools, nina uelewa wa kutosha kuhusiana na social engineering

》ku-secure system kwa kutumia linux, DNS, na kwa kutumia cryptography

》ku-secure connectivity kama vile switch, router, firewalls, vpn, ips(intrusion prevention system ) pamoja na ids (intrusion ditectin system) nadhani wataalum watakuwa wamenielewa kwenye ivyo vifupo

》Digital forensics inverstigation (computer pamoja na simu)

》Computer Networking

》 System analysis and design

MSAADA WENU WAUNGWANA

MPAKA NIMEAMUA KUWAANGUKIA NDUGU ZANGU MNISAIDIE UJUE NIMESHAKATA TAMAA, MAANA

KULIKO KULIA PEKE YANGU, NIMEONA NIWALILIE WATANZANIA WENZANGU MNISAIDIE NDUGU ZANGU

NIMESHATAFUTA SANA KAZI, KUANZIA APPLICATION ZA ONLINE, MPAKA MANUALLY

NOTE: KAZI YEYOTE ILE NTAFANYA ATA KAMA NI NJE YA TAALUMA YANGU, NA NTAIFANYA KWA UAMINIFU MKUBWA MNO

MUNGU WABARIKI SANA

NO YANGU: 0755836347
NAPATIKANA: DSM-MBEZI MSAKUZI

NISAMBAZIENI KWENYE MA-GROUP MENGINE NIPATE MSAADA
Umewahi kuishi Njombe?
 
Hauna uhakika... Yaani unahisi ni mimi tena aisee.View attachment 1110806
Screenshot_20190529-090936.png

Nadhani kwenye JF app ndio haionyeshi lkn kwa web page inaonyesha RIP
 
Jaribu kuja kanisa la korogwe Kkkt hapa kwa mvhungaji mastay anaombea sana hizo kansaa utapona nakuhakikishia na hutatoa ata sh kumii wala hutakufa, pole sana kwa maumivu kuwa tu na imanii Mungu ndio mponyaji
 
Jaribu kuja kanisa la korogwe Kkkt hapa kwa mvhungaji mastay anaombea sana hizo kansaa utapona nakuhakikishia na hutatoa ata sh kumii wala hutakufa, pole sana kwa maumivu kuwa tu na imanii Mungu ndio mponyaji
Korogwe ipi

Kwanza huyu jamaa sijui kama yupo maana ni uzi wa mwaka jana huu
R.I.P
 
Jamaa alitengeneza kamradi safii kakupata hela
Unfortunately enough, Folk hakuwahi kuomba hela, msaada wala mchango wowote kuanzia matibabu yake hadi kifo chake.

Hivyo, kwa mtu mwenye credibility kubwa hapa JF kama wewe kuibuka na allegations na accusations kama hizi kumhusu marehemu inasikitisha saana.

Muombe radhi marehemu.
 
Unfortunately enough, Folk hakuwahi kuomba hela, msaada wala mchango wowote kuanzia matibabu yake hadi kifo chake.

Hivyo, kwa mtu mwenye credibility kubwa hapa JF kama wewe kuibuka na allegations na accusations kama hizi kumhusu marehemu inasikitisha saana.

Muombe radhi marehemu.
Kwani kafariki?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom