Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.
Mkuu,naona last seen May 2018,umeshakufa?
 
Seriously?? Mbona Account za IG zinakuwa on Hata MTU kafa?tuache matani.Kikubwa mrithi atufafanulie.Au alimwachia ndugu kwa upendo wake kwetu ili Hata akifariki atuambie.So touching kwa kweli.This life full of disappointments.
Mkuu,naona last seen May 2018,umeshakufa?
 
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)

Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?

Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.

Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.

Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu

Bye bye Mother earth.

Kataa hiyo roho majibu ya daktari si ya Mungu nimetamani kuandika mengi bt pliz pray pray dont stop na usijikatie tamaa pray
 
Hata mimi sijaelewa bado.
Screenshot_20190626-132552.jpeg
 
Haya maneno uliona rahisi kumwambia mwenzio eeeh.Ebu jiambie Wewe yanavyoogopesha
Pole sana kijana!
Believe me sisi ni Roho hivyo roho yako itakuwa mahala pema!
Waza hivyo tu! Kaburini sio nyumbani kwako, kaburi ni mahali pa kuhifadhi miili lakini roho inakwenda mahali pazuri!
Amini hivyo nayo yatakuwa kwako!
Mwenye Enzi Mungu mwingi wa rehema akupe amani yake milele yote!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom