Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Mi naomba kuuliza kwan ukifa ndo inajiandika hapo kwene title RIP au mtu anakuandikia?ama inakuaje?
mkuu ni kwamba,

huyu ndugu yetu alikuja mwenyewe mbele ya wana jf na kijitanabaisha ni kitu gani kiko mbele yake.

maana yake baada ya kudhibitika na watu wa karibu yake ambao pia ni member humu kwamba hatimaye ndugu yetu amefariki kweli,walitoa taarifa kwa mods na member wa jf katika huu uzi,ndipo jf wakaongeza hiyo RIP katika profile yake.

tatizo wanao coment upupu ni wale wazee wa heading and the last post,wanamwaga yao na wao.tulioishuhudia hii post toka member anaipost tuliumia sana.
 
Nmekuelewa mzee.. let he RIP
 
Maxence Melo

Kiongozi huu uzi si vyema ukawepo, ikiwa mwanzishaji ashatangulia mbele ya haki. Tunakuomba uufunge, mods mpaka leo wameuacha

Si kila mtu ambaye aliwahi kuona jinsi Marehemu alivyolalamika kipindi anaumwa, ataweza kustahimili kuuona tena ukiendelea. Ilihali ameshatangulia mbele ya haki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom