Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Maxence Melo

Kiongozi huu uzi si vyema ukawepo, ikiwa mwanzishaji ashatangulia mbele ya haki. Tunakuomba uufunge, mods mpaka leo wameuacha

Si kila mtu ambaye aliwahi kuona jinsi Marehemu alivyolalamika kipindi anaumwa, ataweza kustahimili kuuona tena ukiendelea. Ilihali ameshatangulia mbele ya haki
Samahani mkuu hivi mtoa mada alishafariki kweli na ni lini?
 
Uzi kuwepo sio tatizo. Ni funzo kwa watu wengine kujua aina ya magonjwa, matibabu na tahadhari.
Jambo tunalotaka kwa mods ni KUUFUNGA usichangiwe tena.
Cc Moderator
Kwa sababu kama yako Kuufunga usichangiwe kisha kuuacha hewani itakuwa kazi bure sababu ni heri kuwaacha watu waulize maswali kuhusu ugonjwa huo....ili kuepukana na kejeli Uzi unafaa ufungwe tu..
 
Kwa sababu kama yako Kuufunga usichangiwe kisha kuuacha hewani itakuwa kazi bure sababu ni heri kuwaacha watu waulize maswali kuhusu ugonjwa huo....ili kuepukana na kejeli Uzi unafaa ufungwe tu..
Ok
 
Kwa heshima na taadhima nawaomba sana Mods muuondoe huu uzi tafadhali
 
Duh! Pole sana mkuu! Nimesikitika ila ngoja nikwambie hivi;

Kwamba unapaswa kujua we are divine energy..sisi sio huu mwili sisi ni roho hivyo iandae roho yako kupata pumziko la milele na watu wengi walio experience near death situation wanaelezea how wonderful it is..maana kifo sio process bali its the state of changing from physical state kwenda spiritual blissful state yenye raha isiyomithilika we unadhani kwanini Mungu haishi mwilini na anaishi rohoni? Huku mwilini kuna uchafu na maumivu nenda tu into the real immortal part...the truest of all.

Kufa sio adhabu its the must process kwa kila kiumbe na hakuna maumivu kwani maumivu yako mwilini pekee sababu ya nerve, brain, neurons e.t.c but unaumiaje rohoni? Unaumiaje ubongo ukicease kufanya kazi? Haumii kabisa,Trust me!

Death is painless ndugu.

Tangulia mkuu, tunakuja!

Candle in the wind.

Love you folk
Umenifanya nisikiogope kifo kabisa
 
Mbn account inatumika hata leo?
Screenshot_2019-07-01-16-58-34.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom