Nimesioma thread hii very late sana; ikanikumbusha kwa uchungu sana ndugu yangu aliyekutwa na aina fulani ya kansa, daktari akatuambia kuwa ana masaa 36 tu. Hata hivyo jamaa alikuwa na amani tele na mchangamfu daima na akaishi kama wiki nzima ila siku za mwisho zikawa za mateso sana kwani alikuwa hawezi hata kuongea na ilipofika siku ya saba tangu dakari atupe masaa 36 amri ya bwana ikatimia.
Nimesoma kwa machungu sana, lakini ndiyo hivyo; kama ni kweli, basi RIP Folk wetu.
Itakuwa ni vizuri pia iwapo modereta atabadilisha classification kuwa RIP kusudi watu wasimtag tena. Nimemkumbuka tena dada Regia Mtema aliyekuwa active sana hapa akafariki kwa ajali ya gari.
Hata mimi sijui aliishia wapi; ameacha kuonekana hapa kwa karibu miaka minane sasa!Kichuguu, hivi yule dada machachari aitwaye Mwafrika wa Kike aliishia wapi?
Nilikuwa nawasoma sana enzi za Jamboforums
Kuna ubishi na kibri hiki chako ni kibri sasaHakuna Anae weza kukuambia au kujua utakufa lini katika dunia hii hayupo hata kama huamini uwepo wa Mungu.
Soma kwenye profile lake alishawekewa R.I.P ameshafariki siku nyingi sana aAsee, huyu jamaa bado yupo hai?
Dah....kuna watu magereza wanasubiri tarehe na saa zao lakini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna Anae weza kukuambia au kujua utakufa lini katika dunia hii hayupo hata kama huamini uwepo wa Mungu.
Usitumie apps.. tumia chrome utaona actual last seen yake.Jamaa anonekana yupo online sijui hii app haiko sahihi
MmmmhUsitumie apps.. tumia chrome utaona actual last seen yake.
In fact he is declared dead long ago.
Huyu ni binadamu wa kwanza namuona live anapata nafasi ya kuaga ndugu jamaa na marafiki i wish nijue nafa lini na mimi RIP huko ulipo nasi tupo njiani
Last seen May 14, 2018Jamaa anonekana yupo online sijui hii app haiko sahihi
Last seen May 14, 2018
Nyinyi watu wavivu kusoma hua mnakera wakati mwingineYupo hata sasa online