Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Mkuu utani weka pembeni basi tunavyo jadili vitu vya msingi Jali hisia za wenzioMzee wa kusawazisha halitakushinda utasawazisha tu
hapo hakuna ujanja wa kuipata hiyo kadi hata ukarogeee vipi... au uende kwa wachungaji wote wakuombeee hutaipata tena... nhif imebadilika sana na sana...
kama sio mke, mtoto au mzazi wa mchangiaji ukipoteza kadi yako huipati tena..
walitaka wazifungie zote wakaona gharama itakuwa kubwa... wakaamua kwamba wa si renew kadi yeyote kama alieipoteza hana vigezo vya mzazi, mtoto, mke au mume
by nhif employeee
Nimekutia moyo mkuu sio utaniMkuu utani weka pembeni basi tunavyo jadili vitu vya msingi Jali hisia za wenzio
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu cheti cha kuzaliwa ninacho kwa iyo nichukue hatua gani?Kwanini usitafte cheti cha kuzaliwa usajili kama mke na mme hata kama ni Dada yako.
Huu nao sio ushauri mzuri ila ng'ombe akizidiwa hula hata ugali
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam, hata mimi nilitaka kumuweka mdogo wangu mwaka juzi ikashindikana. Sasa hivi NHIF wapo strict sio kama zamani mtu unaweka hata watu usiokuwa na undugu nao.hapo hakuna ujanja wa kuipata hiyo kadi hata ukarogeee vipi... au uende kwa wachungaji wote wakuombeee hutaipata tena... nhif imebadilika sana na sana...
kama sio mke, mtoto au mzazi wa mchangiaji ukipoteza kadi yako huipati tena..
walitaka wazifungie zote wakaona gharama itakuwa kubwa... wakaamua kwamba wa si renew kadi yeyote kama alieipoteza hana vigezo vya mzazi, mtoto, mke au mume
by nhif employeee
Duh mwaka huuNaam, hata mimi nilitaka kumuweka mdogo wangu mwaka juzi ikashindikana. Sasa hivi NHIF wapo strict sio kama zamani mtu unaweka hata watu usiokuwa na undugu nao.
Extend your hand in kindness and offer help to the most in need
Hio bima ya kampuni gani?Jikatie mwenyewe kadi yako!
Tshs.80,000/= kwa mwaka, achana na kubebewa na dada au mtu mwingine.
NHIFHio bima ya kampuni gani?