Nimeambiwa siwez Pata kadi yangu iliyopotea kwa sababu aliekusajilia ni Dada yako hii ni haki?

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,601
Reaction score
1,172
Nisaidieni jaman juzi nimepoteza kadi ya Bima ya afya nimefuata hatua Zote ikiwemo ripoti kutoka polisi naenda pale na ambiwa siwez Pata nyingine kwa sababu aliekusajilia ni Dada yako labda angekua mama yako. Nishaurini Wana sheria nifanyaje nipate kadi yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wa kusawazisha halitakushinda utasawazisha tu
 
hapo hakuna ujanja wa kuipata hiyo kadi hata ukarogeee vipi... au uende kwa wachungaji wote wakuombeee hutaipata tena... nhif imebadilika sana na sana...

kama sio mke, mtoto au mzazi wa mchangiaji ukipoteza kadi yako huipati tena..

walitaka wazifungie zote wakaona gharama itakuwa kubwa... wakaamua kwamba wa si renew kadi yeyote kama alieipoteza hana vigezo vya mzazi, mtoto, mke au mume

by nhif employeee
 
Ungemueleza ikitokea akaipata ataweza kuendelea kuitumia?

Na ni bora kukaa kimya na kuisaka au akija ofisi zenu mnamuondoa kwa kujua sio mnayetaka awe?
 
Kwanini usitafte cheti cha kuzaliwa usajili kama mke na mme hata kama ni Dada yako.

Huu nao sio ushauri mzuri ila ng'ombe akizidiwa hula hata ugali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana...

Hapo inaonekana dada yako alikusajili kama mtoto wake badala ya mdogo wake kitu ambacho siyo sahihi...

Bima nyingi sana zinakuwaga... Mke, mume, Baba, Mama na watoto wasiozidi wanne...

cc: mahondaw
 
hapo hakuna ujanja wa kuipata hiyo kadi hata ukarogeee vipi... au uende kwa wachungaji wote wakuombeee hutaipata tena... nhif imebadilika sana na sana...

kama sio mke, mtoto au mzazi wa mchangiaji ukipoteza kadi yako huipati tena..

walitaka wazifungie zote wakaona gharama itakuwa kubwa... wakaamua kwamba wa si renew kadi yeyote kama alieipoteza hana vigezo vya mzazi, mtoto, mke au mume

by nhif employeee
Naam, hata mimi nilitaka kumuweka mdogo wangu mwaka juzi ikashindikana. Sasa hivi NHIF wapo strict sio kama zamani mtu unaweka hata watu usiokuwa na undugu nao.

Extend your hand in kindness and offer help to the most in need
 
Jikatie mwenyewe kadi yako!
Tshs.80,000/= kwa mwaka, achana na kubebewa na dada au mtu mwingine.
 
Ndo mambo ya bima hawataki mdogo mtu eala kaka wanataka watoto na wazazi basic
 
Back
Top Bottom