mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
My scenario iko hivi
Tulizaliwa wawili,
Baba, Mama na Mdogo wangu wote wamefariki
Baada ya baba kufariki , tuliishi na mama , tulikuwa wadogo so sijui nani aliteuliwa kama msimamizi...
Mtafute Mungu simama nae uishi. Kama walifanikiwa kuwaua wengine isiwe kwako.
Unachokiwaza wewe na walichokupangia wanadamu wanaoitwa ndugu ni tofauti sana.
Yesu akusaidie sana