My scenario iko hivi
Tulizaliwa wawili,
Baba, Mama na Mdogo wangu wote wamefariki
Baada ya baba kufariki , tuliishi na mama , tulikuwa wadogo so sijui nani aliteuliwa kama msimamizi...
Haitakuwa hivyo as Nina nyumba 2 tayari.Wanakushauri kuuza nyumba wapuuze yasikukute yaliyonikuta mimi. Baada ya kuuza nyumba nkajenge nyingine sehemu nyingine niepukane na hawa ndugu wengine akaja kijana mwingine akanifundisha kubet na mambo mengine...
Nimekusoma Sana.Wewe ni mtu mwema sana.....kwa kua wewe na mdogo wako ndio warithi wa wazazi wenu ,fanya hivi...tengeneza minutes za kikao cha familia(hakikisha huwashirikishi hao ndugu bali tumia majina yao na wasainie kama kikao kimefanyika)tafuta cheti cha kifo cha mzee kafungue mirathi...na fanya unavyoweza mahakamani wa expadite hili zoezi...ukishapewa mamlaka ya msimamizi wa mirathi...nenda kafanye transfer ya hizo nyumba kuja majina yako/wajukuu uliowakusudia....kikubwa fanya kwa usiri hao mafia wasijue.
ndo mana nimekuja hapa kupata ushauri!!Kwani ni wangapi hao wanaoua ndugu zenu ili wauze mali na kutekeleza watoto? Kuna kitu ningekushauri ila jiongeze, kuna struggle for existence the weak will perish the strong one will survive. Sasa wewe amua ndio uwe strong au weak
Kisheria Hii ni Hatari Sana.Wewe ni mtu mwema sana.....kwa kua wewe na mdogo wako ndio warithi wa wazazi wenu ,fanya hivi...tengeneza minutes za kikao cha familia(hakikisha huwashirikishi hao ndugu bali tumia majina yao na wasainie kama kikao kimefanyika)tafuta cheti cha kifo cha mzee kafungue mirathi...na fanya unavyoweza mahakamani wa expadite hili zoezi...ukishapewa mamlaka ya msimamizi wa mirathi...nenda kafanye transfer ya hizo nyumba kuja majina yako/wajukuu uliowakusudia....kikubwa fanya kwa usiri hao mafia wasijue.
Nafahamu, lakini hii ni Tanzania.Kisheria Hii ni Hatari Sana.
Nipo ndani ya taasisi Tajwa Hapo juu, Kukughushi saini za wahusika inaweza kumpa kesi nyingine hatari ya kunidanganya Mahakama.
Nashauri asijaribu hii mbinu, itamcost.
Afate utaratibu, hao Baba zake wadogo sio wajinga Kama unavyodhani.
Mahakama ikimwambia adhibitishe hiyo Nia ovu ya Baba zake wadogo ataweza kudhibitisha?Nafahamu, lakini hii ni Tanzania.
Na kwakua wao ni warithi halali hawatakiwi kukingwa na mawazo/ugumu wa wanandugu ambao tayari wanaonekana wana nia ovu kwa wahusika.
shukran kwa tahadhari!Mahakama ikimwambia adhibitishe hiyo Nia ovu ya Baba zake wadogo ataweza kudhibitisha?
Ni hisia Tu ndio zinamtawala, na hata Kama ni kweli Baba wadogo walikuwa na Nia ovu, Bado haimpi uhalali wa kutenda uovu wa kuidanganya Mahakama.
Awaite wakae mezani, waongee Kwa uwazi Sheria itaamua.
Ye awaite tu wafanye kikao wakikataa akatoe taarifa mahakamani, unajua risk za kupeleka forged documents mahakamani ndugu?Wewe ni mtu mwema sana.....kwa kua wewe na mdogo wako ndio warithi wa wazazi wenu ,fanya hivi...tengeneza minutes za kikao cha familia(hakikisha huwashirikishi hao ndugu bali tumia majina yao na wasainie kama kikao kimefanyika)tafuta cheti cha kifo cha mzee kafungue mirathi...na fanya unavyoweza mahakamani wa expadite hili zoezi...ukishapewa mamlaka ya msimamizi wa mirathi...nenda kafanye transfer ya hizo nyumba kuja majina yako/wajukuu uliowakusudia....kikubwa fanya kwa usiri hao mafia wasijue.
Filling fake documents in court is unacceptable!!Ye awaite tu wafanye kikao wakikataa akatoe taarifa mahakamani, unajua risk za kupeleka forged documents mahakamani ndugu?
Kama ni Baba yako na Umebaki mwenyewee hao ndugu wa baba yako wanaonekana wana tamaa sanaaa... piga nyumba bei kajengee nyinginee utakazoandika majina yako au hao unaosema unawasaidiaa..Baba