Nimeambiwa Wajukuu hawaruhusiwi kurithi nifanyeje?

Hao aliotumia majina yao Mahakama ikiwataka waje mahakamani je?
Mshauri atafute Wakili.
 
Kama ni Baba yako na Umebaki mwenyewee hao ndugu wa baba yako wanaonekana wana tamaa sanaaa... piga nyumba bei kajengee nyinginee utakazoandika majina yako au hao unaosema unawasaidiaa..
Hivi inamaana watu hawajui kua Mirathi ni Ibada,hivi Mtu unajichomeka vp kwenye Mirathi ambayo haikuhusu hadi unafika Mahakamani kulazimisha urithi na wwe!!?? Tumshukuru sana aliyetunga Sheria za Mirathi aliona mbali sana kumlinda Marehemu japo hana kauli tena!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Au kopea mkopo mrefu kama inakubalika, ungoje iipigwe mnada shaaaa, huo mkopo ukatende jema lingine.

Sijui sasa watu wa mikopo wanasemaje hapa.
 
Au kopea mkopo mrefu kama inakubalika, ungoje iipigwe mnada shaaaa, huo mkopo ukatende jema lingine.

Sijui sasa watu wa mikopo wanasemaje hapa.
Mikopo tena!!?? Huko atapigwa tu na wajanja wa Mikopo!!!
 
Jitahidi uweke mazingira mapema damu yenu inaonyesha inaondoka mapema ni nyepesi sana jitahidi uweke mambo sawa z
Hivi ni kwa nini huwa hivyo, kuna familia wanaishi mpaka miaka 80, 90 huko
 
Unafikiri Kila mtu ni mwendawazimu na mfuata mkumbo kama wewe?
 
Asiuuze hiyo Nyumba,bali aandike Wosia inatoshha, maana hadi sasa yeye ndiyo mwenye Mali!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Huwezi andika urithi kwa wanao Kwa nyumba uliyorithishwa na babako.

Mimi NI mrithi by default.
Mzee hakurithisha wajukuu zake.

yani mi narithi kwa babangu bila hata wosia unless wosia wake umenikana( Napo labda niwe nimefanya BAADHI YA makosa yaliyoainishwa kisheria mojawapo kulala na MKE WA Baba au kutomuuguza Baba mpk mauti)
Vinginevyo NI mrithi WA asili.

Kimbembe kwenda Kwa wajukuu!!

Watoto wangu wanarithi kwangu, kwa.mali nilizochuma Mimi!!

za babangu/ mamangu kama Hawakutamka kabla hawajafariki Mimi siwezi wajumuisha kwenye urithi WA kile nilichorithi kutoka kwao wether Kwa tamko au Kwa asili.

Sasa basi!!

Iwapo Mimi niliye mnufaika pekee wa Mali ya Wazazi wangu.
nikifariki!!
Mali Ile unarudi kwenye familia ya wahusika.
(Hapo sasa ndo Baba zangu wadogo wanapoingia kwenye hii issue)
 
Baba anapofariki warithi ni mke na watoto. Na mama anapofariki sehemu yake inarudi kwa watoto.
Wamiliki hapo ni hao ndugu wawili. Haki ya ndugu aliyefariki inakwenda kwa watoto wake.
Hao baba wadogo hawana haki humo.
Na vipi ikitokea wakaja watoto wa nje wakadai mali?
 
Na vipi ikitokea wakaja watoto wa nje wakadai mali?
Mzee inaelekea alikua mtu mnyoofu bana.
Kwa miaka 30 mpk sasa hajajitokeza mtu mahali anasema yeye ni mwanae /mama wa mwanae.
Ila nikwambie kitu?
NAWISH ANGEKUWA ANA MTOTO/WATOTO KWINGINE kwa mama tofauti
Kubaki mwenyewe ujue inaumiza!
 
Pole sana, kaka yako alifariki kwa sababu gani?
 
Huyo mdogo wako ni jinsia gani?
 
Kuhusu utaratibu kisheria.
Si itabidi niteuliwe kama msimamizi wa mirathi ndipo niweze kuhamisha umiliki na kisha kuziuza?
Kwa mtoto, mfano nyumba ni za baba yako, huna haja ya kuteuliwa, unarithi automatically. Na kama umebaki mwenyewe, utateuliwa na nani? Ni kuinesha uhusiano wako na baba yako mahakamani.
 
Kwa mtoto, mfano nyumba ni za baba yako, huna haja ya kuteuliwa, unarithi automatically. Na kama umebaki mwenyewe, utateuliwa na nani? Ni kuinesha uhusiano wako na baba yako mahakamani.
ok, Ambapo naanza kwa shauri jipya au natakiwa kurefer kwenye shauri la mwanzo la mirathi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…