Nimeambukizwa Gonjwa baya na Mpenzi wangu! Msaada na ushauri wa Haraka

Kachome ceftriaxone(injection) inachomwa kwenye mishipa ya damu
 

Kachome ceftriaxone(injection) inachomwa kwenye mishipa ya damu. Utapona haraka sana kaka
 
Pole sana bro,
Njoo hospital utapewa dawa aina ya AZITHROMYCIN TABLETS(ZAHA),
Dosage=1x1x3.
Na ukape maarifa sa na biblia isemavyo.amina
 

Gono linaambatana na UKIMWI.

Mjulishe asiendelee kulisambaza, awahi na wewe uwahi hospitali. Gono linatibika ila kama liliambatana na UKIMWI ndio majanga. Itabidi uanze kuishi kwa matumaini.
 

Nenda hospital mapema pia mshauri na huyo mwenza wako kama hajapima aende akacheki afya yake
 
kumbuka ni mpenzi wake wa muda mrefu hilo limetokea juzijuzi tu,wanawake?tamaa zitawatoa roho
 
Mtoa pole sana!nenda hospitali tiba ipo kwa muda mfupi utapona kabla ya ugonjwa kuwa sugu.
Kwa upande wa pili si busara kushatumiana wote ni wanadamu wenye makosa kila mmoja akifunuliwa tuyaone aliyotenda patakalika hapa,
sio vyema.
pole mkuu next time uwe makini zaidi!
 
ukipata dawa za kizungu, sindikiza na hizi. mizizi ya mchogoma, mizizi ya papai dume na mizizi ya mgomba aina yoyote chemusha kwa pamoja ujaze dasani lita moja na nusu unywe kila wakati unapo sikia kiu ukianzakunywa asubuhi kufika jioni utakojoa vizr
 

Aisee!!! we dr. ni noma.
 

wahi hospital haraka tena uombe mung asijekua kakuachia ngoma mana sio mwaminifu huyo.Na ukiendelea nae basi mwambie na yeye akachekiwe mana haitakua na maana kama we ukpona then yeye ana kaugonjwa
 
Uchawi sio lazima uwe na tunguri!
Shikamoo babu

Hapo sijui umenitukana au umenisifia...

Nakumbuka nshakwambia staki mshkamoo wako. kama vipi tutafutane PM.
 

Mwekundu big up, ila huo ushauri hiyo last statement haaa akipona akagonge tena?!?
 
ukipata dawa za kizungu, sindikiza na hizi. mizizi ya mchogoma, mizizi ya papai dume na mizizi ya mgomba aina yoyote chemusha kwa pamoja ujaze dasani lita moja na nusu unywe kila wakati unapo sikia kiu ukianzakunywa asubuhi kufika jioni utakojoa vizr

Hii sio sumu kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…