Nimeambukizwa virusi vya UKIMWI (H.I.V)

Kaka naomba kuuliza ya kwamba wanasayansi wanasema kuwa H.I.V haina dawa yaan virusi vyake haviwez kuuliwa na dawa yoyote, sasa juz kati nimesikia mahojiano kutoka CTC kwamba kuna mtu alikuwa sio mzingatiaji wa ARV's virusi vikaongezeka vingi mwilini kufikia million 7.6,

akashauriwa ameze ARV kwa wakati na aache kudoja, alivyorudi kwenye mfumo mzuri wa ARV baada ya mwaka mmoja virusi wakapungua adi kufika 200.

SWALI LANGU NI KWANMBA KAMA IMEWEZEKANA KUUA VIRUS ZAID YA MILLION 7 ADI KUBAKI MIAMBILI KWANIN WASHINDWE KUWAMALIZIA HAO MIAMBILI ILI MTU ABAKI CLEAR, na kama hakuna dawa sasa imekuaje apo au wanacheza na akili zetu hawa wazungu
 
Mkuu kilichofanyika Niliwahi kukuelezea nyuma kidogo kwamba Dawa za ART zina Suppress HIV kwa kuzuia au kublock the production and the multiplication ya virus..

So pale ambapo Production Ya Virus inakuwa imezuiwa unajua mwili huwa unafanya kazi ya kuondoa Cells zilizombovu na zilizoharibiwa?
Sasa Macrophages ndo hufanya phagocytosis, which is the process of engulfing and digesting pathogens...

NDo maana utasikia watu wanasema virus huwa wanakimbilia kwenye tezi so huwez kuwaondoa compltely japo utareduce ability ya kuwa multplied na Matokeo kunafnyika engulfing lakinu hakuna production maana yake lazma watapungua...
ILa siku akiaacha tu kunywa Dawa production utaanza kuwa juu
 
Mkuu pole sana kwa hayo matatizo yaliyo kukuta haya nitafute mimi ili nipate kukutibia maradhi yako upate kupona lakini ujipange vizuri kwa gharama .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…