Nimeambukizwa virusi vya UKIMWI (H.I.V)

Nimeambukizwa virusi vya UKIMWI (H.I.V)

POLE SANA MKUU.

Mungu atakuponya. Jaribu dawa ya Dokta msigwa.

Ukitumia usipo pona Nitakurudishia laki mbili yako.

Uwe na Imani.
Usitende dhambi Tena
Kaka nashukuru kwa faraja, nimeona wengi wamefutiwa mistari miwili na wamerudi kuwa negative again, Hofu yangu isije ikawa dawa yake inakidanganya kipimo kuonesha mstari mmoja kwa miez kadhaa alafu baadae POSITIVE inarudi kama mwanzo itakuwa depression zaid.
 
Umeambukizwa UKIMWI juzi tu unapata nguvu ya kuandika humu, ebu acha kutuchezea akili bhan sisi siyo watoto wadogo
Kaka ni ktk kuutafuta uzima, natapatapa na uponyaji ambao ni ndoto kwa mujibu wa wengi. ninampenz natarajia kuoana nae mwakan. Ili gonjwa halinisumbui mwilini ila kisaikolojia linaniumiza
 
Hapana, ye ndo anadai kuwa anatibu kabisa.

Na amepeleka maombi yake Nimr ila wameshindwana kuthibitishana
Uyu ndie ninayemuuluzia kuwa dawa yake inachange to negative forever au ni temporary. ela yangu ya ngama nipo mkoani naulli iende irudi mixa dawa then matokeo ya negative yatokee kwa mwez au miez kadhaa na kurudi positive ndio itakuwa kisanga
 
Muulize tu mwenyewe direct [Name] Msigwa MTAFITI
[Phone] 0713 646 691
 
POLE SANA MKUU.

Mungu atakuponya. Jaribu dawa ya Dokta msigwa.

Ukitumia usipo pona Nitakurudishia laki mbili yako.

Uwe na Imani.
Usitende dhambi Tena
Nashukuru mkuu, nitajitahid kununua na kuitumia lakin nitaendelea na ARV'S adi pale diagnosis zitakaposema it's okay kuacha maana nisije kuwa kichwa ngumu nikaacha ARV mapema na kujiweka pabaya zaid
 
Hapana mkuu, hisia zenyew sina, huwez amini tangu niwe positive UUME wangu umesimama siku ya tano baada ya kupata faraja za mitandaoni kidogo ata asubuhi nikiamka ni imelala imesiz.

Huu ugonjwa usikie kwa mwenzio sio mwilini mwako. Siumwi chochote ila akili inaumia
usiwaze sn kiongozi.

kuna weeengi sana wenye shida hio. mi kuna wkt nazani hata zile takwimu tunazosomewa hazina ukweli, wahanga ni wengi kuliko takwimu (labda wanataka wasilete panic cjui).

wengine wanajijua na wengi hawajijui, wewe ni shujaa maana tayari unajijua.

kikubwa ww jitunze na ufuate unayoambiwa hospitali.
 
kwenye kituo ambacho nilichoanza dawa tu ni vhakawaida ila kuna wachukua dozi zaid ya 2,500. Dah inafarini sometimes kuona tupo wengi ila ndio hauwajui ni nani na nani kila mtu anakataa anasema hana apo ndio unajihis kama upo alone.
 
Kaka ni ktk kuutafuta uzima, natapatapa na uponyaji ambao ni ndoto kwa mujibu wa wengi. ninampenz natarajia kuoana nae mwakan. Ili gonjwa halinisumbui mwilini ila kisaikolojia linaniumiza
Usimwambukize mtoto wa watu ukimwi kufa mwenyewe maana uliyataka mwenyewe.

Mtafte aliye kuambukiza ndiyo muoane nae
 
Kuna Watu bado wanaogopa ngoma siku hizi? Watu wanajitahifi asipate magonjwa kama kisukari, ya moyo, maini na Figo na cancer ukiwa na H. I. V tunaweza kuisha miaka yako yote mpaka utakapohitajika kwa muumba wako... Utapeli we u wekezeni kwenye magonjwa ya hivo viungo
 
Usimwambukize mtoto wa watu ukimwi kufa mwenyewe maana uliyataka mwenyewe.

Mtafte aliye kuambukiza ndiyo muoane nae
Kaka ndio maana ninaulizia dawa za uyu mzee isije ikawa shuduha za kutengeneza wanapima mstari mmoja alaf baada ya muda unarudi wa pili nitakuwa hatarini zaid. heri nitemane na uyu binti wa watu mapema iwezekanavyo kabla sijampa jukumu zito ambalo hakulitarajia.
 
Ukiendekeza ngono lazima ufe mapema.
Ukimwi bado ni ugonjwa hatari sana duniani,
Ukimwi ni matesoooo.
hatari ni vile unavyotajwa, Ukizingatia dawa unaspend zaid ata ya yule mwenye tatizo la moyo, blood pressure, ini, figo macho n.k.

kero inakuja kwenye dawa za kila siku,
 
Back
Top Bottom