Nimeambukizwa virusi vya UKIMWI (H.I.V)

Hujaharisha wala kulewa?
 
Pole.
Wakati tunakuwa alikuwepo DR. Matunge anajitangaza kwenye magazeti anatibu HIV kipindi hicho ARV bado hazijaja.
Sokuwahi kusikia au kumuona mtu aliepona.
Sasa matapeli ni wengi kwenye huu ugonjwa. Mpaka sasa haijathibitika dawa inayotibu HIV.
Fuata ushauri wa madaktari.
Utaishi miaka mingi tu , tena wazina watatangulia.
Kuna issue ya kusukari, cancer, pressure yaani hizo uchukui round kuliko vvu.
 
Umewahi kuumwa...sana namaanisha kuumwa Hadi watu wakahisi kesho hutoboi...baada ya kujigundua umeathirika....?

Kama jibu ni hapana Kuna dawa unaweza kujaribu...!​
 
Uyu ndie ninayemuuluzia kuwa dawa yake inachange to negative forever au ni temporary. ela yangu ya ngama nipo mkoani naulli iende irudi mixa dawa then matokeo ya negative yatokee kwa mwez au miez kadhaa na kurudi positive ndio itakuwa kisanga
Nakushauri kama una muda zaidi kasome kuhusu maana ya hiyo mistari na inapima nini?

Maana nimeshuhudia mara kadhaa text zako zimekazia suala la mistari utadhani mostari ndio wadudu🤔

Ona mistari sio wadudu, bali mistari ni kinga yako ya mwili. Upo hapo.

Labda ninene kwa mifano: Tetekuwanga hushambulia (ukimpima kinga itasoma positive) mtu na akapambana nayo akatengeneza kinga ya maisha basi ataendelea kuwa positive kwa kinga yake hata umpime miezi au miaka kadhaa huko.

Ndiyo maana aliyepata chanjo ya taifodi akipima kwa njia za kinga inatakiwa majibu yake yazingatie kwamba anayo chanjo na sio ugonjwa.

So nnawaza hiyo njia yako ya kitaka mistari ipotee inaw3za isiakisi hali halisi ya virusi mwilini. Labda utumie vipimo vya kisasa kama HIV viral load ambacho kitapima wingi wa virusi mojakwamoja kwenye damu.

Kijana hebu kasome zaidi kuugua ukimwi ni nini, na kupona ukimwi ni nini. Vipimo vya ukimwi vipoje na vinapima nini. Kuwa mwanasayansi na utumie akili maana uko nayo
 
kwaiyo kwenye mambo ya kiroho mmeambiwa kuwa hakuna dawa.
Hivi unaelewa maana ya imani lakini.

Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na ni bayana ya mambo yasiyoonekana

Kisayansi tiba ya Ukimwi, cancer n.k haipo au ipo lakini wenye biashara zao wanazificha.

Lakini unachokiona kibinadamu hakiwezekani kiroho kinawezekana, utapona ukimwi na cancer kabisa bila kunywa dawa ila tu kwa imani ya Ki-Mungu
 
Dawa gan mkuu. Dm me pls
Kuna mti mmoja wamasai wanauamini sana na ni mzuri pia...unaitwa mfuleta Kwa watu wa handeni wanaufahamu sana kama unaweza kupata mizizi yake Kisha ukauchemsha na kuku/nyama ya kondoo. Ukiunywa Kwa siku 7 unaweza kukusaidia {Kwa kuku awe kuku alie nona asiwe kuku wa kisasa}

Tafuta huo mzizi...tumia uje ulete mrejesho mkuu.

Ila hakikisha hujawahi kuumwa Hadi kuzidiwa kabisa...!

Ukitumia dawa hiyo unaweza kutumia na mwingine yeyote ila asitumie mama mjamzito hata kama mimba yake ni changa. Ata zaa kabla ya wakati😭😭😭​
 
unasali kanisa gan mkuu.
 
Wengi wameniDM kuhusu tanga kuna dawa sana za hili janga, December naingia kila kona kujaribu bahati yangu. nikishindwa nimeshindwa
 
Hizi ishu zisikieni tu
Hakika mkuu, lakin kwa faraja nilizopewa i feel like i'm in normal situation. Mtaa ninaoishi naona vikopo vya ARV's vingi sana tena sana, ili janga la wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…