kunena
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 506
- 719
LEO NAMEZA KIDONGE CHANGU CHA TISA CHA ARV's
Pole sana mkuu, mi na huu umalaya wangu sijui kama nimesalimika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LEO NAMEZA KIDONGE CHANGU CHA TISA CHA ARV's
sio lazma upate kwa njia iyo. kuna njia nyingine nyingi za kupataPole sana mkuu, mi na huu umalaya wangu sijui kama nimesalimika
Wakuu sio lazima awe MSIGWA, mwenye experience ya mponyaji yeyote wa uyu mdudu anijuze,
sometimes naWish kama siku zirudi nyuma ifike mwez wa saba nimeze PEP mapema ila ndio ivyo nimeshachelewa.
now ndio nameza kidonge cha ARV iki ni kidonge cha nane tangu nianze kumeza.
uzuri hazijaniletea side effects zozote zaid ya kuhis kizunguzungu tu cha muda mfupi but nahis ni pressure ya mapokeo
Kwanin kimiujiza upone alaf kwa dawa usipone, mbona mnanidisapointi mtu wangu.Huwezi kupona UKIMWI kwa dawa unless una imani ya Ki-Mungu ukapone kimiujiza, ila kwa dawa sidhani.
huo utafiti uliufanyia wapi mkuu.Huwezi kupona UKIMWI kwa dawa unless una imani ya Ki-Mungu ukapone kimiujiza, ila kwa dawa sidhani.
Pole.Habari wanaJF, mimi ni kijana niliyekuwa ninajichunga na kuijali sana afya yangu kiasi cha kuwa na mabox ya vipimo vya H.I.V rapid test ghetto, ikiwa kama nimejichanganya basi nawahi dawa za PrEP.
Dawa za PrEP nimemeza round mbili yaani 2017, 2020 baada ya kucheza rough.
Nilikuwa napima maambukizi na mwenza wangu mara kwa mara, hivi sasa mwenza wangu anamalizia masomo ili mwakani July tuanze kuishi pamoja. Sasa mwezi Agosti mwaka huu nimekutana na mwanamke ambae tunameet na kusekx na huwa tunacheki afya, sasa mwezi huo nikapuuza kwakuwa tulicheki afya mwezi May nikamla then maisha yakaendelea.
Mwezi Octoba juzi tu nikajaribu kupima peke yangu ghetto nikakutana na mistari miwili CONTROL na 1, nilipima zaid ya mara tano hapo hapo gheto inasoma mistari miwili. Dah pressure ikawa kubwa.
Nikaenda Hospital napo inaonesha nipo POSITIVE, wakanianzishia dawa za ARV's hadi sasa ninamaliza wiki tangu nianze dozi za ARV's. Next wiki wananianzishia na dozi ya miezi sita ya Anti-T.B...
Juzi nipo YouTube nakuta kuna shuhuda nyingi sana kwamba kuna Mtaalamu anaponesha hili janga from POSITIVE to NEGATIVE anaitwa TR. MSIGWA, jamani waungwana kuna yeyote mwenye hakika na hili jambo hata ndugu yake alipata kupona kwa huyu docta maana kichwa kinawaka sahizi sielewi, nikapata mawasiliano yake akaniambia dozi ni shilling 280k ya siku 45 inaitwa (4A9).
Wajameni hivi ili suala lina ukweli dawa hiyo ya Asili inasaidia kwa yeyote aliyawahi pata experience hii hata kwa ndugu yake kuhusu uyu mtaalamu TR. MSIGWA na dawa yake ya 4A9 maana nina wiki tu tangu nianze kumeza ARV's lakini nahisi hali ya kuzichoka tayari.
Nawasilisha:
Imani haiitaji utafiti, ni wewe na Mungu wako.huo utafiti uliufanyia wapi mkuu.
Kisayansi mpaka sasa hakuna dawa ambayo imeidhinishwa kutibu UKIMWI, bado ni wanazifanyia majaribio tu.Kwanin kimiujiza upone alaf kwa dawa usipone, mbona mnanidisapointi mtu wangu.
Nakushauri kama una muda zaidi kasome kuhusu maana ya hiyo mistari na inapima nini?Uyu ndie ninayemuuluzia kuwa dawa yake inachange to negative forever au ni temporary. ela yangu ya ngama nipo mkoani naulli iende irudi mixa dawa then matokeo ya negative yatokee kwa mwez au miez kadhaa na kurudi positive ndio itakuwa kisanga
kwaiyo kwenye mambo ya kiroho mmeambiwa kuwa hakuna dawa.Imani haiitaji utafiti, ni wewe na Mungu wako.
Hakuna ushahidi wa kisayansi kwenye mambo ya kiroho/ki-Mungu
Dawa gan mkuu. Dm me plsUmewahi kuumwa...sana namaanisha kuumwa Hadi watu wakahisi kesho hutoboi...baada ya kujigundua umeathirika....?
Kama jibu ni hapana Kuna dawa unaweza kujaribu...!
Hivi unaelewa maana ya imani lakini.kwaiyo kwenye mambo ya kiroho mmeambiwa kuwa hakuna dawa.
Dawa gan mkuu. Dm me pls
unasali kanisa gan mkuu.Hivi unaelewa maana ya imani lakini.
Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na ni bayana ya mambo yasiyoonekana
Kisayansi tiba ya Ukimwi, cancer n.k haipo au ipo lakini wenye biashara zao wanazificha.
Lakini unachokiona kibinadamu hakiwezekani kiroho kinawezekana, utapona ukimwi na cancer kabisa bila kunywa dawa ila tu kwa imani ya Ki-Mungu
Wengi wameniDM kuhusu tanga kuna dawa sana za hili janga, December naingia kila kona kujaribu bahati yangu. nikishindwa nimeshindwaKuna mti mmoja wamasai wanauamini sana na ni mzuri pia...unaitwa mfuleta Kwa watu wa handeni wanaufahamu sana kama unaweza kupata mizizi yake Kisha ukauchemsha na kuku/nyama ya kondoo. Ukiunywa Kwa siku 7 unaweza kukusaidia {Kwa kuku awe kuku alie nona asiwe kuku wa kisasa}
Tafuta huo mzizi...tumia uje ulete mrejesho mkuu.
Ila hakikisha hujawahi kuumwa Hadi kuzidiwa kabisa...!
Ukitumia dawa hiyo unaweza kutumia na mwingine yeyote ila asitumie mama mjamzito hata kama mimba yake ni changa. Ata zaa kabla ya wakati[emoji24][emoji24][emoji24]
Lutheranunasali kanisa gan mkuu.
Hakika mkuu, lakin kwa faraja nilizopewa i feel like i'm in normal situation. Mtaa ninaoishi naona vikopo vya ARV's vingi sana tena sana, ili janga la wengiHizi ishu zisikieni tu