Wimbo wa Harmonize na ala za roho wapi na wapi?! Nadhani ala za roho ni mahsusi kwa nyimbo za taratibu za usiku
Zamani kidogo..isee ungesikia ile kitu..Ni masikitikoDah ilikua lini iyo mkuu coz sijawah kukosa XXL aseeh..?
Diamond karanga tangazo linapigwa kama kawa pale cloudsTangazo sio la domo tangazo ni la pepsi ndo mana
Huwez ona tangazo la karanga za domo pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee karanga wanatangaza hadi kwenye TV mzee babaa...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tangazo sio la domo tangazo ni la pepsi ndo mana
Huwez ona tangazo la karanga za domo pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi nashangaa na sijawahi kusikiliza Hiyo Radio.Kwan clouds Ndo radio [emoji579] pekee Tanzania? Au wana nn hasa?
Chameleons change color to match the earth. Earth doesn't change color to match the chameleon.
Hata za Jide wasafi hawazipigiWrite your reply...
clouds ni redio private,msiwapangie
kwani domo naye si ana redio yake,mbona hawapigi ngoma za mavoko,kila mtu apambane na hali yake
Aisee nimeskitika sana... Dozen namwonaga mstaarabu yule chalii.
Kwan clouds Ndo radio [emoji579] pekee Tanzania? Au wana nn hasa?
Chameleons change color to match the earth. Earth doesn't change color to match the chameleon.
Hazijaambukizwa chaliangu but nazo zina bifu nae tangia kitambo dingilai,Kama vile E-FM/TVE,EA Radio/EATV,,Nazingine shazi sijazimanya yechu ila yeye mwenyewe Chibu ashawahi semaga kuna media Tano(5)Hazichezi nyimbo zake yeye kama yeye na sio hadi za maraia wengine wa pale fas ya Dabiliusibenga bablai..hawa watu wameambukiza hadi media nyengine zisicheze nyimbo za ndomo, eti hadi millard ayo nae anakaza habari za ndomo zisiwepo kwenye tv na social media zake.
KweliClouds ni taasisi binafsi msiipangie.... ukiona wanakuboa sikiliza tibisiii
Sent using Jamii Forums mobile app