BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Alitakiwa amfahamishe msikilizaji badala ya kumkatia simu.
Wimbo wa Harmonize na ala za roho wapi na wapi?! Nadhani ala za roho ni mahsusi kwa nyimbo za taratibu za usiku