Nimeamini bifu la clouds ni moto kuliko tunavyofahamau dogo alikuwa na haki ya kutokwenda msibani..

Kwan clouds Ndo radio [emoji579] pekee Tanzania? Au wana nn hasa?

Chameleons change color to match the earth. Earth doesn't change color to match the chameleon.
 
Hata Mimi nashangaa na sijawahi kusikiliza Hiyo Radio.
 
huo muda nilikuwa nasikiliza pia kupunguza stress na mawazo ya mchana.. nilishangaa akasema 'watu bana nyimbo gani mnachagua, zipo nyimbo nyimbo nzuri kama wa ben paul..' akiwa kabana sana pua!... nilijikuta kwenye tafakari pana!!
 
hawa watu wameambukiza hadi media nyengine zisicheze nyimbo za ndomo, eti hadi millard ayo nae anakaza habari za ndomo zisiwepo kwenye tv na social media zake.
 
Kwan clouds Ndo radio [emoji579] pekee Tanzania? Au wana nn hasa?

Chameleons change color to match the earth. Earth doesn't change color to match the chameleon.
 
Attachments

  • clouds no1.jpg
    clouds no1.jpg
    23.9 KB · Views: 22
hawa watu wameambukiza hadi media nyengine zisicheze nyimbo za ndomo, eti hadi millard ayo nae anakaza habari za ndomo zisiwepo kwenye tv na social media zake.
Hazijaambukizwa chaliangu but nazo zina bifu nae tangia kitambo dingilai,Kama vile E-FM/TVE,EA Radio/EATV,,Nazingine shazi sijazimanya yechu ila yeye mwenyewe Chibu ashawahi semaga kuna media Tano(5)Hazichezi nyimbo zake yeye kama yeye na sio hadi za maraia wengine wa pale fas ya Dabiliusibenga bablai..
 
Back
Top Bottom