Nimeamini humu LC hakuna mabinti ila mijimama

Pole sana ila. Mimi niliwah leta post yangu hapa nikitafuta mme haswaa. Bahati nzuri wachache walinipa moyo na wengi waliniponda kisa my age..nashukuru sana hii jf kwan sio ya kuharakisha sana nilivumilia matusi na maneno ya kejeli humu.. sijawahi pata kejeli zile.. but all is well nashukuru now nimempata my choice ingawa walikuja wengi sana wa kila aina.. mimi hata my age ni kubwa but nilikuwa na haki ya kuchagua nimtakaye.. na nilimpata na tumefata taratibu xoote.. now tunaelekea mahali halali kabisa.. nilipoweka post yangu sikujielexa maisha yangu kwa ujumla.. ila wengi walikuja wakitaka niwe rich na jimama la kutoa hela. Na nilipoongea nao private sikuwaelexa kimaisha nikoje ili nisije pata ambaye ni mtaka kunichuna tuu.. nashukuru nimepata yule nimtakaye na sio wa kupita.. nawatakia utafutaji mwema ila usikate tamaa. Pambana na jf utafanikiwa na mweke Mungu mbele atakupa ubavu wako sahihi. Amina.
 
Hongera sana kurudisha shukuran kwq wqtu weng hawajui matumiz ya mtanfmdao wanatoa matuc lakn hii mitandao iko sawq maana inatukutanisha na marafiki na watu tulioyo potezana nao lakn weng wetu wanitumia vibaya hasa pale mtu anapo omba ushauri au anahitaji kitu flana wanaanza kutoa matuc mt u kama hajickii kutoa ushaur pita kushoto Tu na so kutu. Watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sana... naipenda jamii forum imenitoa ktk upweke na kumpata anipendaye kwa dhati..
 
Pole sana ila. Mimi niliwah leta post yangu hapa nikitafuta mme haswaa. Bahati nzuri wachache walinipa moyo na wengi waliniponda kisa my age..nashukuru sana hii jf kwan sio ya kuharakisha sana nilivumilia matusi na maneno ya kejeli humu.. sijawahi pata kejeli zile.. but all is well nashukuru now nimempata my choice ingawa walikuja wengi sana wa kila aina.. mimi hata my age ni kubwa but nilikuwa na haki ya kuchagua nimtakaye.. na nilimpata na tumefata taratibu xoote.. now tunaelekea mahali halali kabisa.. nilipoweka post yangu sikujielexa maisha yangu kwa ujumla.. ila wengi walikuja wakitaka niwe rich na jimama la kutoa hela. Na nilipoongea nao private sikuwaelexa kimaisha nikoje ili nisije pata ambaye ni mtaka kunichuna tuu.. nashukuru nimepata yule nimtakaye na sio wa kupita.. nawatakia utafutaji mwema ila usikate tamaa. Pambana na jf utafanikiwa na mweke Mungu mbele atakupa ubavu wako sahihi. Amina.
Huu ni ushuhuda wa kwanza positive tangu niingie jf.
Nadhani wengi wanamalizana kimya kimya huko huko na kuambiana usiende kunipost.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom