Haaahaa tupo wamama wenye majina ya mabinti.
Nicheki kwa prvt mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaahaa tupo wamama wenye majina ya mabinti.
Daah[emoji27] Mimi Napenda Maana Visichana Bado Sanaa...Yaan Hawana Mambo Ya Kiutu Uzima Kma Majimama[emoji2] [emoji2] !! Ila Mimi Mwenywe Serenget Boy[emoji2] [emoji2] !!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!!! Njoo Pm Basi...Mie castle lager woman
Tupo mijimama ndio!
Haaahaa tupo wamama wenye majina ya mabinti.
Karibu sana!
uje na vifaa vyote!
Nkija kwako naganda km speglue
Uko wap mmy njoo inboxTupo mijimama ndio!
Uko wap mmy njoo inboxTupo mijimama ndio!
Hongera sana kurudisha shukuran kwq wqtu weng hawajui matumiz ya mtanfmdao wanatoa matuc lakn hii mitandao iko sawq maana inatukutanisha na marafiki na watu tulioyo potezana nao lakn weng wetu wanitumia vibaya hasa pale mtu anapo omba ushauri au anahitaji kitu flana wanaanza kutoa matuc mt u kama hajickii kutoa ushaur pita kushoto Tu na so kutu. WatuPole sana ila. Mimi niliwah leta post yangu hapa nikitafuta mme haswaa. Bahati nzuri wachache walinipa moyo na wengi waliniponda kisa my age..nashukuru sana hii jf kwan sio ya kuharakisha sana nilivumilia matusi na maneno ya kejeli humu.. sijawahi pata kejeli zile.. but all is well nashukuru now nimempata my choice ingawa walikuja wengi sana wa kila aina.. mimi hata my age ni kubwa but nilikuwa na haki ya kuchagua nimtakaye.. na nilimpata na tumefata taratibu xoote.. now tunaelekea mahali halali kabisa.. nilipoweka post yangu sikujielexa maisha yangu kwa ujumla.. ila wengi walikuja wakitaka niwe rich na jimama la kutoa hela. Na nilipoongea nao private sikuwaelexa kimaisha nikoje ili nisije pata ambaye ni mtaka kunichuna tuu.. nashukuru nimepata yule nimtakaye na sio wa kupita.. nawatakia utafutaji mwema ila usikate tamaa. Pambana na jf utafanikiwa na mweke Mungu mbele atakupa ubavu wako sahihi. Amina.
PmHaaahaa tupo wamama wenye majina ya mabinti.
Sana... naipenda jamii forum imenitoa ktk upweke na kumpata anipendaye kwa dhati..Hongera sana kurudisha shukuran kwq wqtu weng hawajui matumiz ya mtanfmdao wanatoa matuc lakn hii mitandao iko sawq maana inatukutanisha na marafiki na watu tulioyo potezana nao lakn weng wetu wanitumia vibaya hasa pale mtu anapo omba ushauri au anahitaji kitu flana wanaanza kutoa matuc mt u kama hajickii kutoa ushaur pita kushoto Tu na so kutu. Watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni ushuhuda wa kwanza positive tangu niingie jf.Pole sana ila. Mimi niliwah leta post yangu hapa nikitafuta mme haswaa. Bahati nzuri wachache walinipa moyo na wengi waliniponda kisa my age..nashukuru sana hii jf kwan sio ya kuharakisha sana nilivumilia matusi na maneno ya kejeli humu.. sijawahi pata kejeli zile.. but all is well nashukuru now nimempata my choice ingawa walikuja wengi sana wa kila aina.. mimi hata my age ni kubwa but nilikuwa na haki ya kuchagua nimtakaye.. na nilimpata na tumefata taratibu xoote.. now tunaelekea mahali halali kabisa.. nilipoweka post yangu sikujielexa maisha yangu kwa ujumla.. ila wengi walikuja wakitaka niwe rich na jimama la kutoa hela. Na nilipoongea nao private sikuwaelexa kimaisha nikoje ili nisije pata ambaye ni mtaka kunichuna tuu.. nashukuru nimepata yule nimtakaye na sio wa kupita.. nawatakia utafutaji mwema ila usikate tamaa. Pambana na jf utafanikiwa na mweke Mungu mbele atakupa ubavu wako sahihi. Amina.
Asante sana...Huu ni ushuhuda wa kwanza positive tangu niingie jf.
Nadhani wengi wanamalizana kimya kimya huko huko na kuambiana usiende kunipost.
Sent using Jamii Forums mobile app