Nimeamini jamani hakuna kitu kigumu kama wajasiriamali

Na hao kuku wakisasa wanavokula Sasa then ukose soko aisee hii corona iishe haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA wenyewe watu million kumi almost wamepoteza ajira Bora wao wanalipwa Sasa sie kina pangu mkavu Tia mchuzi ndo deep mawazo
Germany [emoji629] watu zaidi ya 2 million wamepoteza kazi.
Lakini uzuri wenzetu wanalipwa 60% ya mshahara wao wa kawaida na hii wanalipwa na wizara ya kazi(jobless money)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni aisee. Kuna nchi nyengine kama unadaiwa deni lako linastopishwa mpaka lockdown iishe.riba haiongezwi. Hata kama huna kazi kuna hela unalipwa. Wafanyakazi wa private sector serikali inawalipa mshahara wao asilimia 80. Asilimia 20 unalipwa na muajiri
 
duh korona imechukua biashara na sasa inavizia uhai ichomoke na uhai[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali ni tete hasa tunao tegemea utalii kama mimi saving ndo zinatufanya tuendelee kusurvive, Maana mpaka korona iishe tutakuwa tumekausha akiba yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…