cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Huko siendi nisije nikakabwa bure mbona hunitakii mema rafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe njoo ukonga
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe njoo ukonga
Hebu njoo home kwanza nikupoze machungu mrembo wangu...Unajua wewe hunaga akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kev yuko hapa anakusalimia
Shogangu alikuwa anategemea Hotel kuuza kuku wake wa nyama.
Sasa wiki ya pili hakuna biashara kuku wameshakula faida na kiasi cha mtaji alichofanya ni kuwachinja baadhi kuwaweka kwenye friza wengine amewajza na mabarafu kwenye madeli anatembea nao kwenye gari ikitokea zali njiani kakuta kibanda vha chips anauza.
Wewe humo kichwani kwako umebeba maganda ya makebichi na mbegu za mapapaiHakuna mfanyabiashara anayerudi kwa mama sema ulikuwa unasimamia mradi wa familia
Sent using IPhone X
Itapita?wakati tunaelekea kwenye maambukizi ya watu milioni 2?.
Itapita lini jamani
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Kwenye hio sekta si tu kulia bali na kusaga meno na meno yakiisha ni kusaga mapengo!!Hivi kuna wanaolia zaidi kuzidi watu wa utalii?? Huu kwetu ni msiba mzito.
Germany [emoji629] watu zaidi ya 2 million wamepoteza kazi.
Lakini uzuri wenzetu wanalipwa 60% ya mshahara wao wa kawaida na hii wanalipwa na wizara ya kazi(jobless money)
TabasamuYan jamani mimi. Ndo kabisaaa, kulia nashindwa, kucheka nashindwa
Wewe humo kichwani kwako umebeba maganda ya makebichi na mbegu za mapapai
Siyo chakulaKama chakula ninaifanya pia ninapika napeleka ofisi za uwanja wa ndege sasa niambie hao kama watakuwa salama? Imewapiga na wao pigo takatifu tumesitisha.
Minada itakuwa mingi sana mwishoni mwa hili janga na wajasiriamali na wafanyabiashara wataumia sana unless namna ifanyike.
duh korona imechukua biashara na sasa inavizia uhai ichomoke na uhai[emoji848][emoji848]Well hii thread ni kwa ajili ya wote tuliaoathiriwa kiuchumi directly na corona.
Najua kila mmoja atakuwa ameathirika kwa level yake lakini nawaongelea wale waliopigwa pigo takatifu. Mfano anayefuga kuku wa kizungu atapeleka wapi na alikuwa anategemea watu wa catering kwenye mashughuli, watu wa catering na mapambo jamani eeee ndo hivo tena tupige goti tu naimani Jehovah adinai atatusikia.
Kuna wale wanaofanya biashara za importation na exportation jamani poleni sana wenzangu hiki kilio chetu sote.
Wauza uji mihogo n. K mashuleni poleni sana.
Sasa usiombe corona ikuathiri kwa kiasi kikubwa na huku una mkopo sijui bank sijui microfinance haloo hao watu wanajifanya kama vile hakuna kinachoendelea wao wanataka rejesho tu ilihali mikopo wamesitisha na pengine hata wao mishahara wamepunguziwa kwa kiasi fulani ila sasa kwa kupiga simu na kudai hao balaaa.
Kama mimi mkurugenzi na muanzilishi wa kampuni ninalia lia njaa fikiria wale wa chini yangu hali ikoje?
Shughuli za uzalishaji hakuna lakini fixed costs kama hela ya pango na ulinzi lazima nilipie natoa wapi mimi hizo ilhali sizalishi?
Binafsi nimefunga ofisi nimefunga na nyumba nimerudi kwa bi mkubwa vijana wa sasa wanasema kurudisha jezi eee ndo nisharudisha jezi hivo.
Na hii ni biashara yangu changa sana niliyoipambania usiku na mchana isimame. Ninmeipambania haswa wanaojua nini nachofanya humu na tuna mawasiliano ya karibu wanaelewa.
Lakini corona imeipenda zaidi.
Ooo kuna watu watakuja na sera zao hapa huna saving sijui akiba uncertainties bla bla nyie ndugu kama ninavyosema kujiajiri ni kugumu sana hasa kukuza biashara jamani ukisema utoe laki uweke akiba unawaza hii laki si nikinunua kitendea kazi fulani kitasaidia mauzo yaongezeke? Basi unachukua ile hela unaongeza vitendeo kazi.
Wajasiriamali na wafanyabiashara mliokuwa kwenye game mda mrefu hongereni sana na SHIKAMOOOOONI maana najua mmevuka vizingiti vingi.
Wale jirani zangu jamani nishatoka kijijini nimerudi mjini kwenye ugali wa bure mnaweza kuja tu kunisalimia.
Shule za binafsi mishahara zitashindwa kulipa..
Benki zinatakiwa kusitisha kudai vinginenevyo hatari sana
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13], Si unaandika mashudu.Nisipokutia mimba mwaka huu shukuru sana maana unawashwa kila ukiona comment yangu
Sent using IPhone X
Hivi shule sizinaendeshwa kwa ADA za wanafunzi.Shule hadi sasa zinaumia maana mabenki yanahesabu kila siku.....
Biashara nazo zinaenda vibaya
Sent using Jamii Forums mobile app