Nimeamini jamani hakuna kitu kigumu kama wajasiriamali

Hata misosi nayo inachacha tena ikilala mtaji wa asubuhi huna, nimemfungulia wife wateja wamekopa na wamekimbia
kweli Corona hatari km alivyosema amu
sijui @ FRANCIS DA DON alimaanisha biashara gani haikosi soko

misosi kwa maana ya mazao kitu kama nafaka haina kuchacha, hata kukiwa na vita watu watahitaji kula tu mzee. ila mgahawa chakula chaweza chacha kama wote wataamua bana matumizi kwa kununua nafaka au unga na kujipikia makwao.
 
misosi kwa maana ya mazao kitu kama nafaka haina kuchacha, hata kukiwa na vita watu watahitaji kula tu mzee. ila mgahawa chakula chaweza chacha kama wote wataamua bana matumizi kwa kununua nafama au unga na kujipikia makwao.
mwaka huu wa 2020, mazao hakuna, mafuriko yamepiga mpaka mifukoni
ogopa Lockdown, Watanzania tukiambiwa leo, hakuna mwenye kununua gunia 6, sukari, na mchele
tumuombe Mungu gonjwa lipungue kasi liishe, biashara ya mafak labda Mkuu nikalangue
 
lockdown ni tabuuu.... mzee kilimo cha mvua ni kama kubet tu ila kwa taarifa yako watu waolima na mvua za vuli wamepata sana mazao! Nawatu, wanevuna na kupanda tena masikaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…