RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Aisee.... 😀 😀 😀Wewe humo kichwani kwako umebeba maganda ya makebichi na mbegu za mapapai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee.... 😀 😀 😀Wewe humo kichwani kwako umebeba maganda ya makebichi na mbegu za mapapai
Kuna biashara huwa haikosi soko, hata iweje, unaijua?
[emoji16][emoji16][emoji16]
FRANCIS DA DON said:
Kuna biashara huwa haikosi soko, hata iweje, unaijua?
Hata misosi nayo inachacha tena ikilala mtaji wa asubuhi huna, nimemfungulia wife wateja wamekopa na wamekimbiaya misosi tu...
Hata misosi nayo inachacha tena ikilala mtaji wa asubuhi huna, nimemfungulia wife wateja wamekopa na wamekimbia
kweli Corona hatari km alivyosema amu
sijui @ FRANCIS DA DON alimaanisha biashara gani haikosi soko
mwaka huu wa 2020, mazao hakuna, mafuriko yamepiga mpaka mifukonimisosi kwa maana ya mazao kitu kama nafaka haina kuchacha, hata kukiwa na vita watu watahitaji kula tu mzee. ila mgahawa chakula chaweza chacha kama wote wataamua bana matumizi kwa kununua nafama au unga na kujipikia makwao.
mwaka huu wa 2020, mazao hakuna, mafuriko yamepiga mpaka mifukoni
ogopa Lockdown, Watanzania tukiambiwa leo, hakuna mwenye kununua gunia 6, sukari, na mchele
tumuombe Mungu gonjwa lipungue kasi liishe, biashara ya mafak labda Mkuu nikalangue
Sioya misosi tu...
Utalipa Ada huku wanafunzi wako nyumbani?Hivi shule sizinaendeshwa kwa ADA za wanafunzi.
Hali ni mbaya lakini haina namna lazima maisha yaendelee tu.Kwenye hio sekta si tu kulia bali na kusaga meno na meno yakiisha ni kusaga mapengo!!
Hawa ndo wakwanza kurudisha kete mkuu hali ni tete.
aah nilitaka kusema wasalipa mwanzo wa mwaka wa masomo kumbe wanalipaga nusunusu.Utalipa Ada huku wanafunzi wako nyumbani?
Wakikaa miezi miwili .. mishahara ya walimu wanatoa wapi?
Mkuu injinia ukwaju my wife wako mgahawa wake uko wapi niwe unaenda kumuungisha kipind hiki kigumu cha biasharaHata misosi nayo inachacha tena ikilala mtaji wa asubuhi huna, nimemfungulia wife wateja wamekopa na wamekimbia
kweli Corona hatari km alivyosema amu
sijui @ FRANCIS DA DON alimaanisha biashara gani haikosi soko
Umejua kunichekeshaCorona imewafanya mamotivesheni spika wakae kimya kabisa.
Kijijini watakukimbia By the way, usikimbie tatizo.Pole my dear na si wewe tu almost kila mtu analia na yake, hata wafanyakazi hasa hizi private sectors wako hatarini kupoteza ajira, so sad hili janga litupishe tu, mi nakaribia kurudisha mpira kwa kipa pia narudi zangu kijijini kulima .[emoji25]
Biashara ya matundaHata misosi nayo inachacha tena ikilala mtaji wa asubuhi huna, nimemfungulia wife wateja wamekopa na wamekimbia
kweli Corona hatari km alivyosema amu
sijui @ FRANCIS DA DON alimaanisha biashara gani haikosi soko
Ya kuuza nyapu au?Kuna biashara huwa haikosi soko, hata iweje, unaijua?