Sure, ila sisi wazee wa casino bado tunaserereka tu
Labda iwe nafaka mkuu au misosi ghafi ila kama restaurant kuyumba kupo constantya misosi tu...
Watarudi baada ya coronaCorona imewafanya mamotivesheni spika wakae kimya kabisa.
Nyoeni na hizo rasta sasaHivi kuna wanaolia zaidi kuzidi watu wa utalii?? Huu kwetu ni msiba mzito.
Nao wamekosa soko, biashara za kupigana fix nazo zimekuwa ngumu[emoji28]Corona imewafanya mamotivesheni spika wakae kimya kabisa.
Pia, biashara KONGWE duniani yaani ulipie uogope NGWENGWE na Corona tena, hapaanaLabda iwe nafaka mkuu au misosi ghafi ila kama restaurant kuyumba kupo constant
Hv anayeenda kununua nyapu alafu aende gest kuinyandua .Ya kuuza nyapu au?
Maana zingine zote kama zinastruggle kimtindo
Labda iwe nafaka mkuu au misosi ghafi ila kama restaurant kuyumba kupo constant
Utalipa Ada huku wanafunzi wako nyumbani?
Wakikaa miezi miwili .. mishahara ya walimu wanatoa wapi?
Poleni aisee. Kuna nchi nyengine kama unadaiwa deni lako linastopishwa mpaka lockdown iishe.riba haiongezwi. Hata kama huna kazi kuna hela unalipwa. Wafanyakazi wa private sector serikali inawalipa mshahara wao asilimia 80. Asilimia 20 unalipwa na muajiri
Poleni wazee wa mikeka
Nitakuita Dada wa Mimi! Wala hakuna matata
Mimi nimekimbia ofisi juz kat wamepiga mnada furniture za ofis yangu wateja wangu wengi ni mashule na makampuni ya utalii
Pia niliagiza mizigo china imekwama uko tangu february ndugu mteja anataka refund alaf mkulungwa niko juu ya mawe balaa
Yaan kua CEO wa vikampuni uchwara ni stress balaa kuitwa tapeli nje nje yaan
ya misosi tu...
ππππ kwani corona inakaa milele mkuu?Nyoeni na hizo rasta sasa