Nimeamini jamani hakuna kitu kigumu kama wajasiriamali

Nimeamini jamani hakuna kitu kigumu kama wajasiriamali

Nilienda bank 2 wiki jana nikawa naongea na managers wananiambia biashara kibao wamesitisha kutoa mikopo lakini wanaodaiwa wanawadai hivyo hivyo kwa vitisho na wanasema inabidi wapambane marejesho ya mwezi huu yakae ili board ya wakurugenzi waone mikopo inalipika waruhusu kutoa mikopo mipya wakisema wafanye rescheduling itakula kwao itafikia hatua kuna watu watapoteza ajira au mishahara kusimama
Poleni aisee. Kuna nchi nyengine kama unadaiwa deni lako linastopishwa mpaka lockdown iishe.riba haiongezwi. Hata kama huna kazi kuna hela unalipwa. Wafanyakazi wa private sector serikali inawalipa mshahara wao asilimia 80. Asilimia 20 unalipwa na muajiri
 
Nitakuita Dada wa Mimi! Wala hakuna matata
1586917289929.png
 
Pole mkuu wangu
Mimi nimekimbia ofisi juz kat wamepiga mnada furniture za ofis yangu wateja wangu wengi ni mashule na makampuni ya utalii
Pia niliagiza mizigo china imekwama uko tangu february ndugu mteja anataka refund alaf mkulungwa niko juu ya mawe balaa
Yaan kua CEO wa vikampuni uchwara ni stress balaa kuitwa tapeli nje nje yaan
 
Back
Top Bottom