Nimeamini kila shetani na mbuyu wake

Nimeamini kila shetani na mbuyu wake

Niliwahi kukutana na mmoja ana mizimu, skumoja ikapanda wakati napiga show..... mkuu yani sikuangalia cha mizimu wala majini, miniliendelea kugonga show kilicho nikuta sinto kaa nisahau...😜😜
Malizia story basi 🙄🙄
 
Hata jamaa yetu aliwahi kujitapa na kutujaza kuwa pimpin' ndio mpango mzima, ila muone leo.

 
Back
Top Bottom