James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
He said he knows how to say to both parties to end the war. Well it may not in that debate but I had seen him somewhere saying soMkuu ni wapi Trump amesema akiingia atasitisha vita Ukraine? Umesikiliza ule mdahalo baina yake na Biden kuhusu mgogoro wa Ukraine na kutoa support Israel?
Hapana mkuu, misimamo yake aloweka dhidi ya vita ya Ukraine na Russia ni kwamba hatoruhusu kumuona Putin akiimeza Ukraine.He said he knows how to say to both parties to end the war. Well it may not in that debate but I had seen him somewhere saying so
Sijaelewa ulichokiandikaAchana na propaganda zisizo na kichwa wala miguu,eti insu za kidini.kama ni huo udini mbona Tanzania kuna Waislam na wakristo mbona hamjawahi kupigana??
kuna nchi mamia na Maria Duniani zina mchanganyiko wa WAKRISTO na Muslims mbona hawapigani?
Hisia za Mateka kuwepo Misri upo upo ila si sana... and Issue nyingine Maeneo mengi ya Gaza bado hayajaguswa na vita ndio maana ngoma inaendelea tu Aljazeera walijaribu kuhadaa dunia sana.. Nilikuja kustuka pale niliposikia wale waokoaji walizuga kama wanahamia nyumba ya kupanangisha nikaona tumezungwa sana... how come eneo la vita watu wanatafuta nyumba za kupanga? wakati muda wowote zinalipuliwa? vita ni propaganda sanaHili la Misri kuwa anaendesha vita sina uhakika ingawaje sipingi
Ila hapo kwamba mateka wapo kwao hili sio kweli mateka wapo hapo hapo ghaza ila israhell imeshindwa kuwakomboa
Huko kwengine kiukweli sijakuelewa
Ulitazama mahojiano yake aliyofanya na CNN mwaka jana?Hapana mkuu, misimamo yake aloweka dhidi ya vita ya Ukraine na Russia ni kwamba hatoruhusu kumuona Putin akiimeza Ukraine.
Kuhusu Israel amesema ataendelea kuisupport dhidi ya maadui zake.
Mgogoro una mamia ya miaka, halafu mleta uzi anajenga dhana kwenye rasilimali za miaka ya juzi juzi eti ndo chanzo cha mgogoro. Yaan husikii hata hao wapalestina wakisema hicho alichoandika yeye kuwa ndo chanzo. Aisee kwa mtu anayejua asili ya ugomvi huu hoja za mleta uzi hazina uhusiano wowote ule na mgogoro huu.mkuu usishangae JF Kuna kila aina ya watu wenye akili na wasio na akili wanaweka mifano isiyofanana hata mtoto wangu hawezi waza hivyo.. eti vita ya kukomboa mateka inafananishwa na ugunduzi wa Mafuta baharini... these people wanaongea bila Logic same kama Dini ya Mnyaz