mchambuz unajitambua ? wameambiwa watoke halaf hawatoki bado unalaumu athari za ubishi wao kuwa ilipaswa waachwe tu ili Hamas waendelee kupumua kupitia hao raia wabishi , nmeona vita kadhaa ( sio kusimuliwa kama wewe ) , sijawai ona vita upande mmoja unawapa hadi eneo salama kwa raia wema ambapo mashambulizi hayatofika , mjifunze hata kuona ustaraab wa Idf , hao raia wabish walishajitoa kufa sababu kwao wanaona hamas ni bora kuliko uhai wao , wao wanaona myaudi haki yake ni kifo na hastahiri kuudhibiti ugaidi wa hamas ambao umekuwa unatumia misaada ya raia kwa kujihimarisha wao kivita
MWISHO WA SIKU , WOTE HAPA JUKWA TULISOMA , KUONA NA KUSIKIA OMBI LA IDF KUACHIWA KWA MATEKA ILI WASIVAMIE GAZA , ILA HAMAS , WAARABU NA JAMII YA KIISLAM ILISEMA IDF WANAOGOPA KUINGIA GAZA SABABU WATACHINJWA KAMA KUKU LICHA YA KUPITIA VIPIGO KADHAA ILA WAARAB NA JAMAII ZA KIISLAM ZIMEENDELEA KUTOWAJALI WANA GAZA KWA KUWAFANYA KANA CHAMBO KUPIMA UWEZO WA IDF ,SASA TULIEN WATU WAKAGULIWE LINDAH