Nimeamini Kinachopiganiwa Gaza Ni Mafuta Na Gas

Nimeamini Kinachopiganiwa Gaza Ni Mafuta Na Gas

Kwa sababu ni weupe, ndio maana nimeelezea kwa kirefu, kwa sababu wengi huu mgogoro hawaujui, unaandika hoja mtu anakuita mvaa kobazi, mvaa dera, kichwani mweupe, haelewi dunia inaendaje ye kashiba wali na maharagwe anaona aandike anachoona.
Baadhi ya wajumbe humu JF ukiigusa Israel anaona umeigusa imani yake. Mwengine ukiigusa Saudi Arabia anaona umeigusa imani yake pia. Ili kwake kujipoza ndipo atakutolea maneno ya kejeli/kebehi.

Bw. James Comey huwa anasema mada kama hizi ndipo utakapoona uwezo wa akili wa watanzania.
 
Kama ikiwa Israel anamepatiwa nafasi hii, ushirikiano baina yake na Urusi itakuwaje?

Kama Urusi iliingia Syria ili kunusuru uchumi wake, na hata kwa sasa bado ananufaika pakubwa kwa kuwa nchi za Ulaya zinanunua kwa wingi gesi ya Urusi kupitia kwa India.

Urusi tunamuweka kwenye nafasi gani katika hili? Uhusiano wake na Israel utakuwaje?
Swali zuri mkuu 😀
We mkuu unaonaje? Naona ni suala la kulijadili kwa kina kabisa..
 
Aliyefaulu kusoma hili gazeti au kitabu cha mleta mada atupatie mukhtasari, kwanza atujuze kama ni mvaa kobazi ili nijue namjibuje.
Yaani wavaa kobazi akili mlinyimwa, mshambulie na kuua watoto wa Wayahudi kisha mchukue wengine mateka halafu mkipigwa kibano mnaanza kuandika andika nyuzi ndefu sijui mafuta sijui pumba gani.
Na mtapigwa tu, kama kweli pana mafuta hapo, mliacha kuyatumia mkaona muwekeze kwenye ugaidi wa dini yenu.
Hivi ni maisha magumu au watu mmegoma kufikiri?
 
Huyo ni shoga na chizi hapo hapo huwa hajitambui kabisa yeye kazi yake kutafuta habari Israel kapiga sijui Iran imepigwa ana mapenzi na Israeli sababu ya ushoga wake.

Nikirudi kwenye thread, ni kweli wamegundua Gaza kuna mafuta na gas nyingi sana, kwa hio US na Israel wanataka kuwaondoa wa Palestine hapo ili Israel achukue hio Oil na Gas.

Israel anawambia raia wa Gaza nendeni sehemu flani kuna usalama huko, wakienda Israel anafanya genocide afu anasema target ilikuwa kuna fununu kamanda wa Hamasi alikuwa pale, yote ni uwongo mtupu.
Kabisa mkuu.
Gas ilyopo pale Levant basin inahitajika sana pale Ulaya baada ya jaribio la kutumia gas ya Qatar kupitia Syria kuelekea Ulaya kushindikana.

Wachezaji wakubwa hapo ni Israel kiongozi wao, Cyprus na Egypt, hao ndio wanufaika wakuu wakianza ujenzi wa bomba kwenda Ulaya.
 
Trump atakapoingia madarakani vita ya Gaza itakwisha, Russia itaendelea na biashara yake ya kuuza gas Ulaya, unaweza usiamini lakini ndivyo ilivyo, ndio maana jamaa wameanza kumlenga jemedari Trump afe, hata US military complex industry US hawataki Trump aendelee kupumua, kina Lockheed, Northrop, Boeing n.k kwa ujumla mashirika yanayojihusisha na biashara ya silaha hawataki kusikia kuna kiumbe anaiwa Trump.
Mkuu unaamini Trump akirudi madarakani itakuwa nafuu kwa Wapalestina?...

Umesahau namna alivyoutambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel mpaka kuhamishia ubalozi wa Marekani huko, jambo liliowakera Wapalestina?....

Au nafuu unayoiona wewe ni vita kusimama tu ?
 
Mkuu unaamini Trump akirudi madarakani itakuwa nafuu kwa Wapalestina?...

Umesahau namna alivyoutambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel mpaka kuhamishia ubalozi wa Marekani huko, jambo liliowakera Wapalestina?....

Au nafuu unayoiona wewe ni vita kusimama tu ?
Russia hawezi kukubali ujenzi wa bomba kutoka Levant mashariki ya kati ilipo Gaza, Egypt na Israel kwenda Ulaya kum challenge. Hivyo ujenzi wa hilo bomba ungesimama na vita ya Israel na Gaza ingesimama.

Yanaweza kutokea machafuko lakini sio huu ugaidi wa kuua watu karibu 40K.
Trump alikuwa nafuu zaidi.
 
Uzi wako mrefu kaka,nimeishia kati.
Ila hata hivyo Palestina isingeweza nufaika kirahisi na hiyo rasilimali ilhali wao bado sio taifa kamili Yani hawatambuliki.
Wanatambulika kama occupied territory.

Wangekua taifa kamili wangelifanya kama walivyofanya Lebanon kupitia Hizbollah
Kuna mpaka wa maji baina ya Israel na Lebanon una utajiri wa gesi na mafuta pia,kipindi vita ya 2006 inaisha Israel ilitangaza kuihodhi hiyo mipaka ila Hizbollah waliweka mgomo hakuna gesi wala mafuta yatakayovunwa, mwaka huu mwanzoni ndio Israel walikubali kukaa mezani kupatana kuhusu ule mpaka Lebanon kachukua eneo na Israel akachukua eneo.
Palestina itafute TOTAL SOVEREIGNTY kwanza mengine ndio yafuate.
Haina shida mkuu, nilikua najaribu kuelezea ni sababu kuu ya vita inayoendelea.
 
kaka

naona shambulio la oktoba 7 lilikuwa la kimkakati huenda kulikuwa na mamluki wa kiyahudi kuanzisha vita au shambulizi.

nchi za asia wanahasirika vibaya mno.
Inaelekea kwa sababu miezi miwili nyuma kabla ya Oct 7, USA ilianza ujenzi wa kambi pale Negev Israel.
Haya mambo ya ajabu sana mkuu.
 
Back
Top Bottom