George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Trump atakapoingia madarakani vita ya Gaza itakwisha,
Trump huyu au mwingine mkongwe!?
Ulisikia alichokisema/alichomuambia Biden kwenye debate yao ya mwisho kuhusu vita ya Gaza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trump atakapoingia madarakani vita ya Gaza itakwisha,
Sasa kama uzi sijausoma Insu ya mafuta nimeijuaje?.Acha kukurupuka kuongea upuuzi usioujua, uzi wenyewe hujasoma, kama hujasoma usilete makalio yako mbele kuja ku comment, nimeelezea hapo sehemu inaitwa Gaza Marine ambayo ni rahisi kupeleka gas Ulaya, nimeeleza sehemu hio inaitwa Levant basin.
Sasa gas kutoka Tanzania itafikaje Ulaya kwa njia ya bomba? tumia akili basi mzee usiwe unakurupuka.
Nimeelezea kwanini gas kutoka Levant inahitajika kipindi hiki ambacho Russia gas yake haifiki Ulaya na Ulaya wanahitaji gas.
HINT: Ujinga wako haupo kwenye kukataa kuwa mafuta ndio yanayowatoa udenda Israel hapo Gaza.Ikiwa akili ama hekima kubwa ni KUAMINI Gaza kuna mafuta yanayowatoa udenda Waisrael basi hiyo akili mimi sihitaji.
Ni bora ni baki mjinga.
Fine, Nini kilifanya wazungu atoke Ulaya waje Mwadui kuchukua mazaga?Huyu akli zake kama za bundi sasa Israel atoke westbank aje east afrca kweli??Umefikilia wakati unaandika huu ujinga wako??
Sasa unadhani kwa madini aloandika mwamba hapa anaweza akawa team za hovyo kama zako?Aliyefaulu kusoma hili gazeti au kitabu cha mleta mada atupatie mukhtasari, kwanza atujuze kama ni mvaa kobazi ili nijue namjibuje.
Yaani wavaa kobazi akili mlinyimwa, mshambulie na kuua watoto wa Wayahudi kisha mchukue wengine mateka halafu mkipigwa kibano mnaanza kuandika andika nyuzi ndefu sijui mafuta sijui pumba gani.
Na mtapigwa tu, kama kweli pana mafuta hapo, mliacha kuyatumia mkaona muwekeze kwenye ugaidi wa dini yenu.
Kuna hitaji akili ya uendawazimu kuamini kuwa Hamas walitumwa na IDF ili waue raia wao ili wachukue mafuta.HINT: Ujinga wako haupo kwenye kukataa kuwa mafuta ndio yanayowatoa udenda Israel hapo Gaza.
Rudia kusoma tena ulichokiandika taratibu, utaona ujinga wako ulipo.
Umeona wapi mkono mtupu ukalambwa!?Haina shida mkuu, nilikua najaribu kuelezea ni sababu kuu ya vita inayoendelea.
Kila kiongozi ana mazuri yake na mabaya yake. Obama ndiye raisi amepigana vita zaidi ya Clinton. Ameua sana akifatiwa na Bush Jr kwa miaka ya karibuni. Ameipa Iran nafsi ya kujipanga kwa nuclear. Ametetea ushoga kwa herufi kubwa duniani.Mkuu unaamini Trump akirudi madarakani itakuwa nafuu kwa Wapalestina?...
Umesahau namna alivyoutambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel mpaka kuhamishia ubalozi wa Marekani huko, jambo liliowakera Wapalestina?....
Au nafuu unayoiona wewe ni vita kusimama tu ?
FactsBaadhi ya wajumbe humu JF ukiigusa Israel anaona umeigusa imani yake. Mwengine ukiigusa Saudi Arabia anaona umeigusa imani yake pia. Ili kwake kujipoza ndipo atakutolea maneno ya kejeli/kebehi.
Bw. James Comey huwa anasema mada kama hizi ndipo utakapoona uwezo wa akili wa watanzania.
leo hii mmesahau kuwa walipewa ofa ya kuachia mateka ili idf wasivamie Gaza ? unajuwa mmekuwa kama wehu , jambo lipo wazi ila mnang'ang'ania ujinga ili kujifurahisha , hao HAMAS ni wapumbav , hata Nyerere alipigania Uhuru lakin hakuhatarisha maisha ya raia wanyonge kwa kuchukua hatua zisizo na matumanini ya kufanikiwa bali ni kupelekea vifo vya raia tuFacts
Wapalestina waende Jordan, simpleKama ni kweli basi hii vita haitokaa iishe hadi mwisho wa hii dunia.
Hakuna mmoja anayeweza kuja kumwamini mwenzake wakati wowote ule.
Israel hataweza kukubali Palestine wapate maendeleo yoyote yale ya maana kwa hiyari.
Hawataki hata Taifa la Palestine liundwe.
So this cycle of violence will never end. Maana Israel wanaamini Palestine wakipata maendeleo, wanaweza kutaka kulifuta Taifa la Israel.
nyiny watu mna matatizo ya akili , oct 2023 mlikuwa mnashangilia upuuz wa Hamas , leo mnakuja na stori za Mafuta na Gas , lini mtaanza zitumia akili zenu ?Huyo ni shoga na chizi hapo hapo huwa hajitambui kabisa yeye kazi yake kutafuta habari Israel kapiga sijui Iran imepigwa ana mapenzi na Israeli sababu ya ushoga wake.
Nikirudi kwenye thread, ni kweli wamegundua Gaza kuna mafuta na gas nyingi sana, kwa hio US na Israel wanataka kuwaondoa wa Palestine hapo ili Israel achukue hio Oil na Gas.
Israel anawambia raia wa Gaza nendeni sehemu flani kuna usalama huko, wakienda Israel anafanya genocide afu anasema target ilikuwa kuna fununu kamanda wa Hamasi alikuwa pale, yote ni uwongo mtupu.
kwahiyo Idf waliamka na kuanza shambulia Gaza ? kwann wasubilie mpk 2023 ? oct 2023 mlikuwa mnashangilia upuuz wa Hamas leo hii unasema mafuta sijui gesi , nyiny watu kichwani ni buree , tuliwaambia msishangilie mtawaponza wana Gaza HAMKUELEWAHuyu akili zake kama za bundi sasa Israel atoke westbank aje east afrca kweli??Umefikiria wakati unaandika huu ujinga wako??
Hakika wewe ni mjinga , usiyejua chochote , hao unaowatukuza wanatoa maeneo salama na bado wanayalipua.mchambuz unajitambua ? wameambiwa watoke halaf hawatoki bado unalaumu athari za ubishi wao kuwa ilipaswa waachwe tu ili Hamas waendelee kupumua kupitia hao raia wabishi , nmeona vita kadhaa ( sio kusimuliwa kama wewe ) , sijawai ona vita upande mmoja unawapa hadi eneo salama kwa raia wema ambapo mashambulizi hayatofika , mjifunze hata kuona ustaraab wa Idf , hao raia wabish walishajitoa kufa sababu kwao wanaona hamas ni bora kuliko uhai wao , wao wanaona myaudi haki yake ni kifo na hastahiri kuudhibiti ugaidi wa hamas ambao umekuwa unatumia misaada ya raia kwa kujihimarisha wao kivita
MWISHO WA SIKU , WOTE HAPA JUKWA TULISOMA , KUONA NA KUSIKIA OMBI LA IDF KUACHIWA KWA MATEKA ILI WASIVAMIE GAZA , ILA HAMAS , WAARABU NA JAMII YA KIISLAM ILISEMA IDF WANAOGOPA KUINGIA GAZA SABABU WATACHINJWA KAMA KUKU LICHA YA KUPITIA VIPIGO KADHAA ILA WAARAB NA JAMAII ZA KIISLAM ZIMEENDELEA KUTOWAJALI WANA GAZA KWA KUWAFANYA KANA CHAMBO KUPIMA UWEZO WA IDF ,SASA TULIEN WATU WAKAGULIWE LINDAH