Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Nilichogundua katika maisha yangu ya Tongozo hapa na pale, kumshawishi mwanamke awe manzi yako wakati mwingine tunapitiaga wakati mgumu sana.
Yaani hawa dada zetu kuna kipindi wanakuwa hawataki kabisa mambo na show show, hataki kabisa kulala na mwanaume yeyote.
Wanadai wanatafuta uhuru na hasa Single mother. Nawamind sana masingle mother mananikataa sanaaa, hadi nachoka kukaa single.
Note:
Nitaoa soon