Nimeamini kumpenda mwanamke asiye na utayari wa kupendwa ni Mateso

Nimeamini kumpenda mwanamke asiye na utayari wa kupendwa ni Mateso

mmh kwamba asioe?
We mwanamke..... KUOA kwa sisi hakuna faida yoyote zaidi ya kuongeza matatizo na stress.. ambayo waamini wameyapa jina "" Changamoto za NDOA""

Kama umeolewa MPENDE sana mmeo na usimuache aende No matter what....na kama hujaolewa basi hao wanaokutongoza kuwa nao makini sana. Wape Mzigo kimahesabu..

Utanishukuru Baadae...
 
Nilichogundua katika maisha yangu ya Tongozo hapa na pale, kumshawishi mwanamke awe manzi ako wakati mwingine tunapitiaga wakati mgumu sana..
Hivi kimekukuta Nini mkuu?
 
Kwa maelezo yako sidhani kama unaoa very soon, maana maelezo yanakukataa vibaya mno
 
Back
Top Bottom