Dah !..Mkuu ukishapata mbinu yakuwapata hao single mothr...uje na feedback hapa
Hii kitu ukifanya itakutesa na kukugeuza mtumwa, kama kachomoa wewe mteme tu tafuta mwingine.Kufosi mapenzi - Ally Kiba
Khakhakhaaaa!!!!Jf sionagi mialiko ya shughuli kabisa naona tu story za watu before na baada ya kukutwa na jambo.
We mwanamke..... KUOA kwa sisi hakuna faida yoyote zaidi ya kuongeza matatizo na stress.. ambayo waamini wameyapa jina "" Changamoto za NDOA""mmh kwamba asioe?
Yakiwakuta ndio wanakuja kuomba ushauriJf sionagi mialiko ya shughuli kabisa naona tu story za watu before na baada ya kukutwa na jambo.
Hivi kimekukuta Nini mkuu?Nilichogundua katika maisha yangu ya Tongozo hapa na pale, kumshawishi mwanamke awe manzi ako wakati mwingine tunapitiaga wakati mgumu sana..
Hii kitu ukifanya itakutesa na kukugeuza mtumwa, kama kachomoa wewe mteme tu tafuta mwingine.
😩Mich you Chloe😘
Mpende mwanae tu..Mkuu ukishapata mbinu ya kuwapata hao single mother...uje na feedback hapa