Nimeamini kuwa Simba SC si 'wa kimataifa'

So?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujipange kama taifa kuendeleza michezo

Sent from my R8107 using Tapatalk
 
Hizo goli 12 kwenye maandiko matakatifu inaitwa Thenashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,kwanza naitwa Mselewa na si Mselwa. Pili,mmetia aibu kwenye mechi za makundi kutopata sare au goli ugenini. Tatu,mkulishatolewa mrudi kuchachisha viporo vyenu na ubingwa hampati. Hifadhi maoni yangu haya. Simba ikitoka sare na Vita,matokeo yoyote ya Waarabu yatawavusha Waarabu wote.
 
Nisoma mahali kwamba country ya Tanzania ni Simba, kifupi cha 255
 
Bado ninaimani na under dog SIMBA SC kuelekea robo final, haya mengine ya vyura ni kujifariji tu ili nao waonekane vocal sac zao zina function . [emoji196] [emoji196] [emoji196] punguzen kelele basi maan hamkawii kubadili gia Angani pindi watapo chezea vitasa kwa BENJAMIN STADIUM asee [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watawakana kua sio wakongo bali ni wa Malawi. Teheteheee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…