magagafu
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 1,196
- 1,309
Hawezi kushinda pale Taifa tushawafunga nje ya uwanja rekodi ya Simba katika mechi za nyumbani ni Bora Sana wao wataingia washafungwa akilini
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kushinda pale Taifa tushawafunga nje ya uwanja rekodi ya Simba katika mechi za nyumbani ni Bora Sana wao wataingia washafungwa akilini
So?????Usikariri, maana ile ni sawa na bunley kuifunga man city ila levo zao ni tofauti mno......bila shaka jana uliona mechi ya vita na hao alhly jinsi vita alivyotawala mpira na kutengeneza nafasi nyingi za kufunga.. tukubali ukweli kuwa soka letu bado lipo chini.sana.. zaidi.sana.lipo midomoni, magazetini, tv na.redio.. tuna safari ndefu sana..
Sent from my R8107 using Tapatalk
Hizo goli 12 kwenye maandiko matakatifu inaitwa ThenasharaSimba jana ilikuwa kama mbuzi aliyenyeshewa na mvua,wachezaji walikosa kujiamini,ni kama kila mmoja alikiwa ana masikitiko kukosekana kwa Okwi.
Kufungwa 12_0 magoli ya ugenini inanifanya niendelee kuamini hawa jamaa ni wa matopeni tu..
Shida nyingine ni jezi ya Soura (jezi ya njano,inayotumiwa na Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Bara_Young Africans) iliongeza hofu kwenye mioyo ya Mikia na hivyo kupoteana na kupigwa Chadema hiyo jana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo waliopata angalau sare au goli. Simba hana chochote. Ni wa mchangani Hapa TaifaKumbe ww ni punguwani....na inaonesha hujui unachokiongea, nitajie kwenye kundi D ni timu ipi imeshinda ugenini? Tumia kichwa na akili kuwaza usitumie makalio
Sent using Jamii Forums mobile app
As Vita goli kapata wapi ugenini?Wapo waliopata angalau sare au goli. Simba hana chochote. Ni wa mchangani Hapa Taifa
Mkuu,kwanza naitwa Mselewa na si Mselwa. Pili,mmetia aibu kwenye mechi za makundi kutopata sare au goli ugenini. Tatu,mkulishatolewa mrudi kuchachisha viporo vyenu na ubingwa hampati. Hifadhi maoni yangu haya. Simba ikitoka sare na Vita,matokeo yoyote ya Waarabu yatawavusha Waarabu wote.Bwana mselwa. Kwanza ujue ili upate tiketi ya kwenda robo fainali una itaji point 9tu.
Sasa nakupa darasa. Simba ina mechi 1 mkononi tena ya nyumbani. Tuache ushabiki wa yanga tuongee ualisia rekodi ya simba katika hatu kabla ya kuingia makundi hata makundi haijapoteza mechi hata 1 ya nyumbani iyo ni advantage kubwa kwa simba.
16/3/ sio mbali mtakimbiana vita ataitambua simba kama alyaly alivyojuta kuifahamu. Nimwiko simba kushindwa nyumbani. Jikiteni kwa KMC Leo na ubingwa tunakuja kuubeba vyura nyie.
Hao ni underdogs wenzenu. Mnamalizana nao tarehe 16
Mkuu,hukuwa na haja kuandika ulivyoandika ili kufikisha ujumbe. Kama Simba ni underdogs watakuwa hivyo tuKumbe ww ni punguwani....na inaonesha hujui unachokiongea, nitajie kwenye kundi D ni timu ipi imeshinda ugenini? Tumia kichwa na akili kuwaza usitumie makalio
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa we subiri tumalize gemu ya nyumbani tushinde na zote za ugenini tuwe tushapoteza ndo utaona hizo sare za ugenini hao wengine zimewasaidia nini...Nilitarajia ungeona soni kwa hizo sare za wengine ulizotaja wakiwa ugenini
Hahahaha timu ipi giant katika kundi letu? As Vita ni Wana final wa kombe la shirikisho mwaka Jana walifungwa na Raja Casablanca kwa aggregate ya goli 4-3 Sasa nashanga unawaita underdog au kuwa shabiki wa Yanga ni pamoja nakujitoa ufahamu?Hao ni underdogs wenzenu. Mnamalizana nao tarehe 16
Bado ninaimani na under dog SIMBA SC kuelekea robo final, haya mengine ya vyura ni kujifariji tu ili nao waonekane vocal sac zao zina function . [emoji196] [emoji196] [emoji196] punguzen kelele basi maan hamkawii kubadili gia Angani pindi watapo chezea vitasa kwa BENJAMIN STADIUM asee [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatzo kila anaposhinda SIMBA anaye umia ni [emoji196] [emoji196] [emoji196]