Nimeamini kuwa Simba SC si 'wa kimataifa'

Kama Yanga ni bora yuko kundi gani CAF CL?... Acha ulopo Yanga aliyepigwa nje-ndani na GOR MAHIA au yupi?
Mtuachie timu yetu,. Nyie mnaojua kushinda ugenini mko hatua ipi?
1998 Mlimaliza na point 2. leo unasema bora yanga kweli?

Mbuzi kabisa akili zenu.
 
Mwaka jana nyinyi shirikisho mlipata ata goli moja ugenini acha uongo mechi na waarabu mlipigwa 4 bila mechi na goh mahia mlipigwa 4 bila na mechi ya ryon mlipgwa 1 bila na hapa home mkafungwa na goh mahia 3 kwa 2 nyi ndo mpo ovyo kbsa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro kuna tofauti kubwa kati ya Basic Applied Mathematics na Pure Mathematics, hesabu ukiijua unaijua tu Simba robo finali sasa hivi twajiuliza kwenda nusu fainali ni kilometa ngapi???

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Maoni yako ya leo tafadhali Mr Petro (unajiita, unaitwa wakili msomi). Tujiamini.
 
kawaulize wacongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mode badilisheni jina la thread hii, iitwe Sasa nimeamini baada ya kila timu kushinda kwao, Simba ni wakimataifa.
 
Shida ya watu kama wewe ni kukosa malezi mazuri ya wazazi , unaweza kuwa umesoma lakini una malezi mabaya, mtoto mwenye malezi mazuri huwa ana akiba ya manèno . Sijui leo umeamkaje
 
Shida ya watu kama wewe ni kukosa malezi mazuri ya wazazi , unaweza kuwa umesoma lakini una malezi mabaya, mtoto mwenye malezi mazuri huwa ana akiba ya manèno . Sijui leo umeamkaje
Huwezi kumuona tena hapa huyu.

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
AIBU yako

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Wewe jamaa hamnazo kweli. Kwa hiyo hapo kwa mchina walipocheza na Ahly au soura walikuwa kivuli vha Vyura wa matopeni.

Timu nyingi zinashinda nyumbani kwa sababu ya confidence na hamasa ya mashabiki
 
Hata hujui nini sababu za timu,uwanja wa ndege au kitu kingine chochote kuitwa Cha kimataifa.wewe bush lawyer hivi uwanja wa kimataifa wa Julias Nyerere unaitwa International Airport kwa kuwa upo Kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…