Jamaa umenifurahisha sana...
Hujui kupika baada ya kuanza vyakula vyepesi umeanza na Chapati ambayo wanawake wengi tu hawaziwezi kuzipika kiustadi..
Sasa wewe ungewezaje!??Siku nyingine Pika chai,nunua na Biscuit au mkate usogeze masaa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna youtube mzee, mambo yamekua rahisi. Za maji unachanganya maji, mayai na unga wa ngano, chumvi na sukari kwa mbali sana. Unakoroga uji unakuwa mzito ila si sana. Unaki grease kikaango unaweka motoni, ni kama unakaanga mayai vile.Kumbe siko mwenyewe kuna watu humu wananijungua sana kwa kweli
Kila kitu kina ujuzi wake
Kupika ni kazi kama kazi nyingine kuna watu wanasomesha kwa kupika; watu wasichukulie simple sana
Za maji sijui zinapikwaje, ngoja nitauliza nikipata jibu hata kesho nitajaribu kupika
Wife yuko mbali inabidi nipike tu
Huyu jamaa bana. Chai imemshinda alafu akahisi eti ataweza chapati hahaa
Dah...hii ina sumu...usitumie..inasababisha kichefuchefu na kutapika...watu watakufikiria vibaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zimenipiga knock out asee. Nitajaribu kurudia usiku kuzipika nikiwa kwenye mood!Tambi ukizidisha chumvi hamna namna. Na zinakuwa mbaya sijui kama nini.
Fuata chipsi.
Halafu kuna watu wanasema "mwanamke ni chombo cha starehe".
Btw, hiyo chapati iliyotoka ya mwisho ni zuri sana hongera.
Pita hapo marikiti, kuna majani ya CHAI BORA ya MASALA. Tea bag unadumbukiza kwenye maji mchezo umekwisha. Ukitaka mbinu nyingine nishtue.Alaa kwa kuona mke wangu anapika niliona itakuwa rahisi
Chai haikunishinda sema haikuwa na mchanganyo wa viungo alivyokuwa ananiweka
Kanambia huwa anaweka mpaka asali
Mie ningeyajulia wapi hayo chai ilikuwa chungu tu
Majani anayotumia ni YA MCHANGANYO wa viungo ving ndo mana chai ikawa chungu
Sadly sikujua hayo
Umuhimu upo mkubwa sanaPole Sana.
Kuna umuhimu wa kufundisha watoto wenu wa kiume mapishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah....hapo atakuwa anatengeneza ugali wa ngano sasa [emoji1787][emoji1787]chemsha maji mengi halafu zidumbukize tena, chumvi itapungua.
Kuna youtube mzee, mambo yamekua rahisi. Za maji unachanganya maji, mayai na unga wa ngano, chumvi na sukari kwa mbali sana. Unakoroga uji unakuwa mzito ila si sana. Unaki grease kikaango unaweka motoni, ni kama unakaanga mayai vile.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimewapenda bureUmuhimu upo mkubwa sana
Siku hizi hata kwenye shughuli watu wanasaidiana kupika
View attachment 1378847
Dah...hii ina sumu...usitumie..inasababisha kichefuchefu na kutapika...watu watakufikiria vibaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Beretta ARX 160