Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasubiri kusikia unaendeleaje mkuu, ulinihamasisha sana na andiko lako.Mwaka mwingine unaelekea ukingoni
Mwaka mwingine unaelekea ukingoni
Mawazo mazuri sana. Lakini hiyo hiyo 100M anaweza akaiacha UTT kwa miaka 10 tu akawa na zaidi ya 300MMwaka huu kama Umefikisha lengo lako la 100m+ maana yake unaweza kuanza kupata gawio la kil mwez..
Sijajua UTT umeweka mfuko upi ila UTT Bond kwa 107m+ unapata 906k kila mwez ya uhakika haina mbambamba.. ukiwa na around 120m utapat 1m kila mwez..
Maana yake kama ulivyosema take home yako ni 900k then utakuwa kama vile unapokea mishahara miwili kila
Mwez.. walau unaanza taratibu kuoata financial freedom.. maana ya UTT u aweza ukawa unaipeleka kwenye ada ya watoto
Na walau Unaweza hata kumpeleka mbugan mamsup na watoto mwisho wa mwaka.
On a side note.. kama Unaweza kuimudu familia Kwa Mshahara wako ngoja nikupe akili ya kuifanya 100m ijizalishe had hadi kufikia 300M yenyewe huongez hata sumni.
Ukifikisha 100m itoe UTT nenda kanunue Govt Bond ya 15yrs+ ambayo inakupa 13%+ kwa mwaka, hapa utapata around 14m za gawio kila mwaka ( kila miez sita unapokea 7m+ .. then hiyo hiyo pesa ingiza yote UTT maana yake kila mwaka. Utakuwa na uhakika wa kuwekeza 15m UTT .. unawez akaamua sasa mshahara wako usiwekeze ufanyie mambo mengine hiyo 15m kwa miaka kumi faida tu ni 160+ kwa 15yrs almost 200m ukijumlisha na ile 100m yako ya Govt Vond una 300+m plus.. fikiria kwa umri wa watoto wako na umri wako 10 years baadae unahitajnkuwasapoti kwenye Elimu na mengineyo
Fanya hivyo una biashara ambayo ukianzisha una uhakika kuwa itakukuzia mraji hadi 300m ndan ya 10 yrs.. otherwise chukua njia hiyo ambayo faida yake inatunza thaman ya pesa yako.
Tupe shule hapa mkuu mfuko gani umewekeza? Muda na kiasi kama itakupendeza.Nimeinvest UTT AMIS mkuu
Nimeweka mifuko mitatu. Liquid fund, Bond Fund na Umoja. Nilianza kuwekeza 2020. Now nimewejitupa kwenye hisa. Nimenunua hisa za CRDB, mambo yakienda vizuri itakuwa ni kichekoTupe shule hapa mkuu mfuko gani umewekeza? Muda na kiasi kama itakupendeza.
From July nilianza kudunduliza natamani ka akiba nikatumbukize UTT maana benki unaambukia buku 3 kwa mwezi 🤑
Samia bond?Nimeweka mifuko mitatu. Liquid fund, Bond Fund na Umoja. Nilianza kuwekeza 2020. Now nimewejitupa kwenye hisa. Nimenunua hisa za CRDB, mambo yakienda vizuri itakuwa ni kicheko
Wazo zuri mkuu. Pia nimewekeza kwenye hisa nitakuja kuzitoa miaka kumi ikifikaMwaka huu kama Umefikisha lengo lako la 100m+ maana yake unaweza kuanza kupata gawio la kil mwez..
Sijajua UTT umeweka mfuko upi ila UTT Bond kwa 107m+ unapata 906k kila mwez ya uhakika haina mbambamba.. ukiwa na around 120m utapat 1m kila mwez..
Maana yake kama ulivyosema take home yako ni 900k then utakuwa kama vile unapokea mishahara miwili kila
Mwez.. walau unaanza taratibu kuoata financial freedom.. maana ya UTT u aweza ukawa unaipeleka kwenye ada ya watoto
Na walau Unaweza hata kumpeleka mbugan mamsup na watoto mwisho wa mwaka.
On a side note.. kama Unaweza kuimudu familia Kwa Mshahara wako ngoja nikupe akili ya kuifanya 100m ijizalishe had hadi kufikia 300M yenyewe huongez hata sumni.
Ukifikisha 100m itoe UTT nenda kanunue Govt Bond ya 15yrs+ ambayo inakupa 13%+ kwa mwaka, hapa utapata around 14m za gawio kila mwaka ( kila miez sita unapokea 7m+ .. then hiyo hiyo pesa ingiza yote UTT maana yake kila mwaka. Utakuwa na uhakika wa kuwekeza 15m UTT .. unawez akaamua sasa mshahara wako usiwekeze ufanyie mambo mengine hiyo 15m kwa miaka kumi faida tu ni 160+ kwa 15yrs almost 200m ukijumlisha na ile 100m yako ya Govt Vond una 300+m plus.. fikiria kwa umri wa watoto wako na umri wako 10 years baadae unahitajnkuwasapoti kwenye Elimu na mengineyo
Fanya hivyo una biashara ambayo ukianzisha una uhakika kuwa itakukuzia mraji hadi 300m ndan ya 10 yrs.. otherwise chukua njia hiyo ambayo faida yake inatunza thaman ya pesa yako.
Jaribu na hisa mkuuNaendelea kupata madini hapa,
Nimeanza kuwekeza UTT mwezi wa sita mwaka huu, kwa hii miezi sita nimeona faida ya UTT, nimefungua account kwenye mifuko yote kasoro watoto fund, lakini Mungu akinijalia kupata watoto pia ntawafungulia account yao
Wakuu hii kitu ina faida sana kwa baadaye
Mbona wazungu wanajibana miaka kuja vacation Afrika? Mwacheni ale bata..Nimekusoma vizuri sana, ndiyo maana nikakuandikia hivyo.
Huo ndiyo ujinga wa Mwafrika, badala ya kusema nimepata mtaji nikanunuwe bond za Serikali (kama hujuwi biashara), wewe unasema unakwenda "kula bata".
Huo ni ujinga usiomithilika.
Tofauti ya muafrica ndo.hii...wenzetu wangeinvest