Nimeamini Maisha si kombolela, nimepata akiba ya Tsh. Milioni 14.7 mwaka huu

Hongera sana, Mwenyezi Mungu akusaidie uendelee kuww bora hivyo hivyo. Ila tu hakikisha watoto hawakosi, maziwa, mayai, nyama kidogo/dagaa, maharage, mboga za majani na matunda. Ni muhimu kwa umri wao.

Hongera kwa mkeo pia.

Nimecheka ulivyosema umeishi kama shetani, hivi shetani anaishije? 😂😂😂
 
Endelea fikisha 25m nenda kaziwekeze kwenye BOND za serikali kwa hatifungani ya 20 yrs,Kila mwaka unakula faida ya 11% Kila mwaka hiyo itakusaidia kulipa ada za watoto Kila mwaka huwazi for fv**nkg 20 yrs then hapo 25 m Yako unarudishiwa kama ilivyo,then uendelee Tena ku make invest as more as you can utakula tu Bata huko mbeleni.
 
Hongera mkuu,umeupiga mwingi kama wahindi ,ukiendelea na hii spirit kusave na kuwekeza utakuwa na maisha mema sana uzeeni,
It means mwakani ukiendelea na ukajaliwa uhai utakuwa na 28 mil
 
Yaani unapata 2.5mil kwa mwaka kwa investment ya 25mil. Mwee sii bora ukanywe bia tuu
 
Uzuri wa hizi kitu msuli wako ndio mapato Yako

Just imagine MTU anaweka 200m analamba ngapi Kwa mwaka.?

Endeleq kuzinunua hizi bonds utaja shangaa siku unalamba 200m Kwa mwaka

Hela ya kwenda Ibiza na Miami kula Bata.
Sasa mil 200 mtu anaweka utt huyo sio mwenzio. Sie bodaboda kiweka mil 25 utt ni counter productive kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…