Nimeamini Maisha si kombolela, nimepata akiba ya Tsh. Milioni 14.7 mwaka huu

Umee
Mwaka huu nimejitesa sana aisee. Kifupi mshahara wangu ni 900k take home. Niliamua kujitusu kwa mwaka huu kwa kila mshahara niupatao nasevu 600k nilianza kama utani vile pia kazini kuna allowance mbalimbali za kukuwesha kusongesha maisha kwa mwezi ukipambana vizuri 300k hukosi mbali na mipigo mingine napo nilikuwa nasevu kwa kila nikipatacho.

Dah utajiri mgumu jamani. Nilianza saving UTT miaka ya nyuma ila kwa mwaka huu nimejizima Data kwa kusevu 1ml + kila mwezi. Ni ngumu sana kwa kipato changu nikipatacho.
-Sijanywa bia yoyote mwaka huu.
-Familia imeishi kigumu sana kwa kipato cha 300k+ kila mwezi. ( Uzuri mke alirudhia na kunitia moyo).
-Nina nyumba ya kuishi.
  • Watoto bado wadogo under 7.
  • Nimeteseka sana nimeishia kama shetani vile ila nimefanikisha.

FUNZO;

Maisha ni Maumivu, kujitoa na uvumilivu. Kipato cha
mwezi huu na ujao ni full kula Bata kujipooza machungu.
Umeearn au umeserve?
 
Mkuu ungeunga hapo hapo usibadilishe gia angani maana ukianza kulitafuna bata,hautakuwa na break ya kurudia kujinyima tena!
Mwishowe utarudi to zero tena.
 
Nimekusoma vizuri sana, ndiyo maana nikakuandikia hivyo.

Huo ndiyo ujingwa wa Mwafrika, badala ya kusema nimepata mtaji nikanunuwe bond za serikali (kama hujuwi biashara), wewe unasema unakwenda "kula bata".

Huo ni ujinga usiomithilika.
Acha kupangia watu mtumizi. Wewe pesa zako nenda kanunue hizo bond za serikali
 
Nimekusoma vizuri sana, ndiyo maana nikakuandikia hivyo.

Huo ndiyo ujingwa wa Mwafrika, badala ya kusema nimepata mtaji nikanunuwe bond za serikali (kama hujuwi biashara), wewe unasema unakwenda "kula bata".

Huo ni ujinga usiomithilika.
Uko sahih Sana bibie [emoji1663]
 
Mwaka huu nimejitesa sana aisee. Kifupi mshahara wangu ni 900k take home. Niliamua kujitusu kwa mwaka huu kwa kila mshahara niupatao nasevu 600k nilianza kama utani vile pia kazini kuna allowance mbalimbali za kukuwesha kusongesha maisha kwa mwezi ukipambana vizuri 300k hukosi mbali na mipigo mingine napo nilikuwa nasevu kwa kila nikipatacho.

Dah utajiri mgumu jamani. Nilianza saving UTT miaka ya nyuma ila kwa mwaka huu nimejizima Data kwa kusevu 1ml + kila mwezi. Ni ngumu sana kwa kipato changu nikipatacho.
-Sijanywa bia yoyote mwaka huu.
-Familia imeishi kigumu sana kwa kipato cha 300k+ kila mwezi. ( Uzuri mke alirudhia na kunitia moyo).
-Nina nyumba ya kuishi.
  • Watoto bado wadogo under 7.
  • Nimeteseka sana nimeishia kama shetani vile ila nimefanikisha.

FUNZO;

Maisha ni Maumivu, kujitoa na uvumilivu. Kipato cha
mwezi huu na ujao ni full kula Bata kujipooza machungu.
Bado haujajisaidia kwa kukabikiza hela benki eti unasave. Hizo ziwewekeze kwenye shughuli inayozalisha ili mtaji ukue.
 
Zipo Utt Amis mkuu zinaendelea kuingiza faida
Anza kuzitoa huko kwa awamu zielekeze kwenye uzalishaji. UTT unapata faida kidogo sana kwa mwaka tofauti na kuizunhgusha. Kama una ka uzoefu kidogo wa biashara peleka kwenye duka la vileo au hata Pub. Pia biashara ya nafaka (siyo mahindi) itakupa faida kubwa tofauti na UTT.
 
Shukran mkuu mwakani nitafanya biashara ya kahawa
 
Anza kuzitoa huko kwa awamu zielekeze kwenye uzalishaji. UTT unapata faida kidogo sana kwa mwaka tofauti na kuizunhgusha. Kama una ka uzoefu kidogo wa biashara peleka kwenye duka la vileo au hata Pub. Pia biashara ya nafaka (siyo mahindi) itakupa faida kubwa tofauti na UTT.
Biashara sio ya kila mtu Mzee
Ingawa woga wa mtu ndio umasikini wake
 
Ni heri ufurahie wakati ukiwa na nafasi maana wakati wa huzuni ni lazima uhuzunike.... Wakati wa furaha huwa na options mbili (Kufurahi na Kuhuzunika) hutegemea na maamuzi yako ila wakati wa huzuni haujawahi kuwa na options ni mwendo wa chozi.
 
2.5 m kwa muda wa miaka 20,,jumla unakuwa ume make 50 m na hapo hiyo 25 m uliyonunulia hatifungani inarudi kwa hiyo hapo unakuwa umeiua inflation kwa asimilia zaidi ya mia tatu hivi.
Tena anaiweza kuireinvest hio Hela na kuongeza nyingine kutoka kwenye maokoto yake.

Baada ya miaka 10 anaweza akawa anakunja sio chini ya 15m Kila mwaka au zaidi.
 
Back
Top Bottom